Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 1,884
- 2,938
Biblia inaelekeza baada ya kunena kwa lugha awepo mfasiri ili kila mmoja ajue kilichozungumziwa, sasa cha ajabu sijawahi kuta mahali wakifasiri kwamba pale tulinena hivi na maana yake ni hivi1. Una uhakika gani kama hawashikiwi na roho mtakatifu au ni wivu tu?
2. Kwani kuna formula ya kunena kwa lugha?
3. Kwani kwa kufanya hivyo wanatenda dhambi?
OMBA TOBA ILI MUNGU AKUSAMEHE!