baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 314
UKAWA ndio Habari ya mjini
Wewe ndo umeonyesha wewe ni mpumbavu.tatizo upumbavu kama huu unapoongelewa na mpumbavu.. hakuna tatizo.
sasa upumbavu kama huu unapoongelewa na mpumbavu ili wenye akili waaamini ndipo mchanganyika wa mawazo unapoibuka.
kaa na upumbavu wako maana ni wapumbavu wenzako ndio watakaoamini upumbavu wako wa kipumbavu toka kwako wewe mpumbavu
PROFILE PHOTO YAKO INATOSHA kunihakikishia aina ya m-bwekaji ulivyo. go boy ..... go...go and bark for the sake of your masters.Wewe ndo umeonyesha wewe ni mpumbavu.
Baada yakujitenga na siasa za ccm, sasa kundi la watu maalumu ambao ndio linaaminika huamua nani awe rais wa nchi hii linaendelea na kikao chao cha siri mjini Dar tangu jana.
Kundi hilo linaundwa na wazee maalumu wastaafu wakiongozwa na baadhi ya Marais waastaafu, baadhi ya Wakuu wa majeshi waastaafu, Baadhi ya wakuu wa usalama wa Taifa wastaafu, baadhi ya Mawaziri wakuu wastaafu, baadhi ya watumishi wengine waasta wenye heshima kubwa nchini.
Taarifa toka ndani ya kikao zinasema kundi hilo limesimama na majina matatu tu mhimu ambayo ndio yanayofaa kuwania urais kupitia ccm, majina hayo ni Jaji Agustino Ramadhan, Jaji Joseph Sinde Warioba na Makongoro Julius Nyerere.
Wanasema kuwa watu hao mmojawao ataombwa kuchukua fomu "hata kama hataki".
Kundi hilo inatajwa kuwa lilijitenga na utawala wa Kikwete kwa maneno kuwa utawala huo ulikuwa ni genge la wafanyabiashara lililoingia ikulu kufanyabiashara zao.
Jioni saa kumi na moja kikao kitamalizika na wataibuka na majina mawili yatakayochukua fomu ndani ya ccm mda ukifika. *Atakuwa mtu wa mwisho kuchukua fomu*