Kundi la maseneta 35 maalumu Tanzania linaendelea na kikao cha kumpata rais

tatizo upumbavu kama huu unapoongelewa na mpumbavu.. hakuna tatizo.
sasa upumbavu kama huu unapoongelewa na mpumbavu ili wenye akili waaamini ndipo mchanganyika wa mawazo unapoibuka.
kaa na upumbavu wako maana ni wapumbavu wenzako ndio watakaoamini upumbavu wako wa kipumbavu toka kwako wewe mpumbavu
 
Ndani ya ccm hakuna mwenye nguvu kubwa kama El .lakini juhudi za kupitisha kugombea uraisi kupitia ccm sijui kama zitafanikiwa.ccm wanahangaika bure wananchi hawana imani na ccm tena.
VOTE FOR UKAWA.
 
tatizo upumbavu kama huu unapoongelewa na mpumbavu.. hakuna tatizo.
sasa upumbavu kama huu unapoongelewa na mpumbavu ili wenye akili waaamini ndipo mchanganyika wa mawazo unapoibuka.
kaa na upumbavu wako maana ni wapumbavu wenzako ndio watakaoamini upumbavu wako wa kipumbavu toka kwako wewe mpumbavu
Wewe ndo umeonyesha wewe ni mpumbavu.
 
Teh Teh mzee wa story za vijiweni! Kwa hiyo umekiri Rais bora ana toka CCM?
 
Tutajie majina ya hao Maseneta

Baada yakujitenga na siasa za ccm, sasa kundi la watu maalumu ambao ndio linaaminika huamua nani awe rais wa nchi hii linaendelea na kikao chao cha siri mjini Dar tangu jana.

Kundi hilo linaundwa na wazee maalumu wastaafu wakiongozwa na baadhi ya Marais waastaafu, baadhi ya Wakuu wa majeshi waastaafu, Baadhi ya wakuu wa usalama wa Taifa wastaafu, baadhi ya Mawaziri wakuu wastaafu, baadhi ya watumishi wengine waasta wenye heshima kubwa nchini.

Taarifa toka ndani ya kikao zinasema kundi hilo limesimama na majina matatu tu mhimu ambayo ndio yanayofaa kuwania urais kupitia ccm, majina hayo ni Jaji Agustino Ramadhan, Jaji Joseph Sinde Warioba na Makongoro Julius Nyerere.

Wanasema kuwa watu hao mmojawao ataombwa kuchukua fomu "hata kama hataki".

Kundi hilo inatajwa kuwa lilijitenga na utawala wa Kikwete kwa maneno kuwa utawala huo ulikuwa ni genge la wafanyabiashara lililoingia ikulu kufanyabiashara zao.

Jioni saa kumi na moja kikao kitamalizika na wataibuka na majina mawili yatakayochukua fomu ndani ya ccm mda ukifika. *Atakuwa mtu wa mwisho kuchukua fomu*
 
Back
Top Bottom