Kunauwezakano wa kuhama chuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunauwezakano wa kuhama chuo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jamii01, Dec 29, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Naomba niulize kuna uwezakano wa kuhama chuo kama mtu ulikuwa unasomea nje ya Tanzania unaweza kurudi bongo ukamalizia course yako kwa level ya bachelor degree..
   
 2. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sana kabisa uwezekano upo tena mkubwa.
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Inategemea ulikua unasoma chuo gani huko nje,ucje ukawa ulikua unasoma vyuo vya kata huko india ukadhani utapokelewa huku bongo.na ni nini kinachokurudsha tena bongo mkuu,au maisha magumu huko uliko?
   
 4. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  shida siyo m,aisha magumu ila nataka nielewe kuliko kukaa na ujinga.
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  huu mfumo sidhani kama vyuo vya serikali imeuanza lkn kwa vyuo kama learnit vya wahindi (foreign branches) vinaruhusu
   
Loading...