Kunatokota sana huku mtaani

Kunatokota sana huku mtaani

torosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2020
Posts
1,114
Reaction score
2,088
JF

Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana.

Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana.

Haki huinua taifa.
 
JF

Sijui kuhusu mitaa yenu, ila mitaa mingi nliyopita kunatokota sana. Watu wana machungu na hasira sana.

Kama wanadhani watu wameanza kusahau, wajue ardhi bado ni ya moto sana.

Haki huinua taifa.
Mtaani kwetu pako shwari kabisa watu wanachapa kazi tu wala hawana habari na masiasa yenu!
 
Nyie ndio mazombi ambayo abduli na mama yake anayapenda endelea kuchapa kazi kama punda huku ukiendelea kuishi kifukara pesa zote anachukia abduli 🤣🤣🤣🤣🤣
Abdul na mama yake wapo ikulu daresalam sie wa huku kahama maandamano ya kazi gani? Nendeni ikulu mkapambane naye sie mtuache tuendelee na utafutaji, maandamano yenu ya kipuuzi yalituletea mdororo wa kiuchumi tena tunawaasa msirudie ujinga huo wa kuandamana.
 
Back
Top Bottom