Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,840
Utazoea tu!
Nitazoea nini?kusemwa hivyooo???
Utazoea tu!
Kam zis wei hani
Wewe na hiyo hani una hamu ya ngumi
Mara muwasifie hao wanene mara muwaponde walimwengu jamani!
ID yako ndeeeeefu sana inanializia bando lazma nipunguze
Habari wapendwa.
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha CHEATERS kinacho rushwa na chanel ya CBS R, kipindi hiki kinafuatilia watu wote wasio waaminifu kwa wapenzi wangu.
Nilicho kiona, wanaume wengi wenye wake/wachumba wanene ndio wanaongoza kwa kuchepuka, kuliko wanaume wenye wake/wachumba wembamba.
Nnajiuliza, kunani na hawa wa shepu hizi?
Mkuu unene gani mana kuna type nyingi z unene istoshe mtu ukiwa mnene sana napo ni shida kumridhisha mwenzio yani mechi yenu kma john cena.nkimaliza mechi wote hoi kma mlikua mnacheza mieleka
Habari wapendwa.
Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha CHEATERS kinacho rushwa na chanel ya CBS R, kipindi hiki kinafuatilia watu wote wasio waaminifu kwa wenzai wao.
Nilicho kiona, wanaume ambao Wake/Wachumba wanene ndio wanaongoza kwa kuchepuka, kuliko wanaume wenye wake/wachumba wembamba.
Ninajiuliza, kunanini katika watu ambao wana shepu za hizi.
Hehehe kama unatabia ya kucheat hata umpate nan utacheat tu.Nikimpata kibonge sita cheat kabisa
HahaaHehehe kama unatabia ya kucheat hata umpate nan utacheat tu.