Paul Makonda kama Kuli kuwa na ulazima kipindi kirushwe siku ile ile, si ungepeleka flash tbc kwenye TV ya Taifa ? Nini kung'ang'ania stesheni ya wenzako?
Bashitee kiazi,baba (godfather)yake kiazi kikuu,mtoto wa watu,vishawishi vimemfanya mpaka akawa jambazi.Laana hii itamuandama huyu mtu mpaka aseme pooo
Utasikia,kiongozi wa waasi nchini Tanzania bwana Daud Bashite,leo amevamia mradi wa barabara wa serikali na kuiba greda moja.Nikitangaza kutokaa Bornia,deutch wele mimi ni Umryheli.