Kunani tena Star TV, ITV na EATV

Kunani tena Star TV, ITV na EATV

pirabiriani

Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
79
Reaction score
16
Nilikuwa nafuatilia kipindi kwenye Tv Tumain ghafla nikaona king'amuzi kinaji-update. Baada ya kujiupdate chennel hazikurudi zote.. STAR TV, ITV NA EATV siwaoni.. sijui ndo wamejitoa ivo au??😱😡
 
Elekeza antena kwenye mitambo ya Startimes kule Kisarawe!
 
Nilikuwa nafuatilia kipindi kwenye Tv Tumain ghafla nikaona king'amuzi kinaji-update. Baada ya kujiupdate chennel hazikurudi zote.. STAR TV, ITV NA EATV siwaoni.. sijui ndo wamejitoa ivo au??😱😡

kuwa makini mh jaribu kutoa habari iliokamilika kama kuna watu wanaweza kukusaidia iwe rahisi

Mfano:ungetaja aina ya king'amuzi na mahali ulipo.

1.Wabongo kwa kuwa wengi wetu tunakurupuka tunachagia hata kujua aina ya kampuni kwa kulaumu tu

2.Location inamatter vilevile mfano mh wa moro hapo kasema kabisa moro ni mwezi wa 2 sasa mimi niko Tanga je nikikuambia huku mambo fresh je utaniamini ?

Nachotaka kukuambia unatakiwa uje na complete inf unapoleta taarifa
 
Kwenye kisimbusi cha STARTIMES stesheni za ITV na EATV hazionyeshi. Kuna tatizo gani?
 
kuwa makini mh jaribu kutoa habari iliokamilika kama kuna watu wanaweza kukusaidia iwe rahisi

Mfano:ungetaja aina ya king'amuzi na mahali ulipo.

1.Wabongo kwa kuwa wengi wetu tunakurupuka tunachagia hata kujua aina ya kampuni kwa kulaumu tu

2.Location inamatter vilevile mfano mh wa moro hapo kasema kabisa moro ni mwezi wa 2 sasa mimi niko Tanga je nikikuambia huku mambo fresh je utaniamini ?

Nachotaka kukuambia unatakiwa uje na complete inf unapoleta taarifa

Mkuu kingamuzi ni cha star times. Nimeshazungusha antena na kusearch zaid ya mara sita ila kitu holaa
 
kuwa makini mh jaribu kutoa habari iliokamilika kama kuna watu wanaweza kukusaidia iwe rahisi

Mfano:ungetaja aina ya king'amuzi na mahali ulipo.

1.Wabongo kwa kuwa wengi wetu tunakurupuka tunachagia hata kujua aina ya kampuni kwa kulaumu tu

2.Location inamatter vilevile mfano mh wa moro hapo kasema kabisa moro ni mwezi wa 2 sasa mimi niko Tanga je nikikuambia huku mambo fresh je utaniamini ?

Nachotaka kukuambia unatakiwa uje na complete inf unapoleta taarifa

Mkuu me nipo dar.. kama kuna mtu alieko dar ajaribu kucheki kwake kama hilo tatizo lipo. Afu hilo tatizo limeanza baada ya star times kuapdate king'amuzi chao. Wakati kinaapdate kuna msg ilikuwa inaprompt "dont power off " baada ya kumaliza kuapdate ikafanya auto search then baadhi ya channels zikapotea. Kwa mtu alioko dar ataona kuna tofauti kubwa kwenye interface ya kingamuzi..
 
Mkuu nimeshaelekezea antena huko na makongo ila hakuna kitu..

Niliwahi kukutana na tatizo kama lako japo mimi nilikuwa sioni channel za Kill package na nilikuwa nimelipia. Nilipowapigia simu wakaniambia nielekeze antenna huko, haikusaidia mpaka nilipopiga tena simu na nilipowatajia card number ya startimes wakarekebisha tatizo. Jaribu kuwasiliana nao
 
Poa mkuu. Ngoja niwavutie uzi..
 
:thumbup::thumbup: Tatizo kwisha, thanx Wakuu..

unaona mambo hayo kaka ni vyema ulivyodadavua wajuzi wamekusaidia na tatizo kwisha ila ukileta habari isio kamilika. wengine wanapotezea .Nashukuru umekua mstaarabu. hukutoa maneno ya kashfa all the best bro.
 
Morogoro chanel za ITV mwezi sasa hakuna kwa star times . Hata SIBUKA?? nayo ina wiki ukifungua inasema ni package ya mambo hata kwa mwenye full sub ya mwezi. Nadhani chanels ndo zinazidi kuondoka. Kibaya zaidi hakuna taarifa rasmi toka start times, wala TCRA. Kwa hiyo ahadi ya waziri kuwa channels tano local ni lazima zionyeshwe na vingamuzi vyote ilikuwa ni danganya toto ya kahalisha ving`amuzi. Ukisha wekeza wanaziondoa. Tunaumizana wenyewe kwa wenyewe jamaa wanachuma mihela bila jasho. Nasubiri cha wazalendo nitupe hiki cha start time kilicho jaa miscratch kila saa kwenye jalala. Inakera!
 
Nilikuwa nafuatilia kipindi kwenye Tv Tumain ghafla nikaona king'amuzi kinaji-update. Baada ya kujiupdate chennel hazikurudi zote.. STAR TV, ITV NA EATV siwaoni.. sijui ndo wamejitoa ivo au??😱😡

Tatizo la wakazi wengi wa jiji la Dar ni 'watumwa' wa namna ya kuishi katika hii dunia.Kwa sababu wengi wao wanaishi maisha ya dhiki,kila aina ya shida na kushindwa kuwa na makazi ya kudumu,kutoa elimu kwa ndugu zao au kutembelea wazazi wao hata mara moja kwa mwaka kwa sababu ya huu utumwa.

Na sasa utumwa wa pili ni visimbuzi hivi vya digital,watu walioko mikoani wanakula life kama kawa kwa kutumia Ma-Dish amabpo wanapata channel zote za tanzania (ITV,Channel ten,TBC,Star TV,Clouds,EATV,Capital) na michannel kibao ya nje tena bure.

Sasa kwa sababu ya utumwa wao eti ni jiji la wajanja wapo wanalia kilio cha kusaga meno na huu utumwa.
jamani jitambue nyie,mtu unaishi maisha ya shida kisa eti best bite,mliman city nk.mtakomaje!
 
unaona mambo hayo kaka ni vyema ulivyodadavua wajuzi wamekusaidia na tatizo kwisha ila ukileta habari isio kamilika. wengine wanapotezea .Nashukuru umekua mstaarabu. hukutoa maneno ya kashfa all the best bro.

Thanx mkuu. Me ni msomi ndo maana natumia busara kwa kila ninalofanya..
 
Tatizo la wakazi wengi wa jiji la Dar ni 'watumwa' wa namna ya kuishi katika hii dunia.Kwa sababu wengi wao wanaishi maisha ya dhiki,kila aina ya shida na kushindwa kuwa na makazi ya kudumu,kutoa elimu kwa ndugu zao au kutembelea wazazi wao hata mara moja kwa mwaka kwa sababu ya huu utumwa.

Na sasa utumwa wa pili ni visimbuzi hivi vya digital,watu walioko mikoani wanakula life kama kawa kwa kutumia Ma-Dish amabpo wanapata channel zote za tanzania (ITV,Channel ten,TBC,Star TV,Clouds,EATV,Capital) na michannel kibao ya nje tena bure.

Sasa kwa sababu ya utumwa wao eti ni jiji la wajanja wapo wanalia kilio cha kusaga meno na huu utumwa.
jamani jitambue nyie,mtu unaishi maisha ya shida kisa eti best bite,mliman city nk.mtakomaje!

Sasa mkuu naomba unieleweshe hapa. Nan kati ya hawa anaishi maisha ya dhiki
ANAYELIPIA KING'AMUZI KILA MWEZI au MWENYE DISHI ANAYEANGALIA FREE MUDA WOTE??
 
Nani anaishi maisha ya dhiki anayelipia kinga'amuzi kila mwezi bila kuona channel ila analipia na anyetumia dish bila kulipa chochote na anapata channel?
 
mi kunasku napata promo wanakata zote za local af wanantupia za kwenye ungo hata cku mbili,so vmilia mambo yatakuwa sawia
 
Yap huwa inatokea starrimes sasa wameweka system moja hasa kwawale waliochakachua kujiupdate automatical then inadelete channel zote za kuchakachua sasa kama signal ni ndogo basi baadhi ya local channel pia hupotea pia xo ni kama hivyo ndugu. Chamsingi ili kuepuka tatizo hilo pale inapojiupdate unazima ile switch ya nyuma, then unakiwasha.
 
Back
Top Bottom