Waheshimiwa sisi ni majirani wa mh aliekuwa mbunge mtarajiwa wa mbeya
kama si chaguo za ccm;
mh general wetu ana nyumba nzuri na ukumbi mkubwa tu kwa heshima ya mwenyezi mungu naomba nimponge kwa hili ;anastahili
tatizo lilipo ndani kwa mzee kuna makontena si haba chini ya matano ukipita;
cha ajabu kila ukipita usiku saa nne /tano unakuta malori ya makontena ft 48 yanaingia yanawaga mzigo yanaondoka;ukipita siku zinazofwwatia unakuta kontena nyingine ft 48 zinapandisha mzigo;kunani humo ndani jamani
iweje mizigo inabebwa na kushushwa usiku pekee;mchana kunnani??