Kunani mitihani ya f2? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunani mitihani ya f2?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Paul Kijoka, Mar 14, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni jambo la kutia huruma kwa jinsi walimu wanaosimamia na kusahihisha mitihani ya f2 wanavyo zalilishwa. Kwanza malipo kwa karatasi ni 200/ tu. Afu tenda ya kusahihisha hufanyika kwa moja ya shule ya mbunge mmoja wa CCM kwa DSM zamani ikiwa kanda ya Pwani.

  Wadau, naomba tuijadili bila woga.
   
 2. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujaeleweka Mkuu....
   
Loading...