Kunani? Mikutano yote unawakilishwa, vitu vidogo hukosekani!

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Hii mada inajengwa kama swali. Na kwa kuwa wapo humu wasemaji waliojipa cheo hicho basi ni vyema wakamjibia.

Mheshimiwa yeye kila mkutano nje ya nchi na mingine hata ya ndani ya kimataifa anakuwa anawakilishwa tuu, lakini shughuli ambazo sio muhimu kwa cheo chake yeye ni NEVER MISS.

Mfano mapokezi ya ndege, uzinduzi wa vitu mbalimbali, ufunguzi hata wa stand ya mabasi nk.

Sababu hasa ni nini? Kwanini anaikimbia mikutano ya nje na amekuwa anamtuma Makamu, PM au hata JK kesha wahi kutumwa wakati amestaafu na kujipumzikia?

Kwa nini hataki kwenda kumwaga cheche zake katika majukwaa ya kimataifa kuifanya nchi ishaini pande zote?

Hatutaki afanye utalii kama JK, lakini ili taifa lolote liheshimike lazima hata kiongozi wake awe hadharani na kuonyesha misimamo makini na ushawishi lakini sio kupokea ndege, kufungua soko au stand ya mabasi!

Kuzungumzia habari za mabeberu ukiwa Katavi au Nanjilinji nikupoteza muda, nenda kayaseme hayo huko huko kama Nyerere wanayekufananisha naye, au walikuwa wanakufananisha sura? Maana katika mengine huna hata moja mnafanana!
Au sababu nyingine mheshimiwa kaona amnyang'anye Makamu Mkasi wa uzinduzi ili afanye kazi zake na Makamu amfanyie zake?
 
Hii mada inajengwa kama swali. Na kwakuwa wapo humu wasemaji waliojipa cheo hicho basi ni vyema wakamjibia.
Mheshimiwa yeye kila mkutano nje ya nchi na mingine hata ya ndani ya kimataifa anakuwa anawakilishwa tuu, lakini shughuli ambazo sio muhimu kwa cheo chake yeye ni NEVER MISS.
Mfano mapokezi ya ndege, uzinduzi wa vitu mbalimbali, ufunguzi hata wa Stand ya mabasi nk.
Sababu hasa ni nini? Kwanini anaikimbia mikutano ya nje na amekuwa anamtuma Makamu, PM au hata JK kesha wahi kutumwa wakati amestaafu na kujipumzikia?
Kwa nini hataki kwenda kumwaga Cheche zake katika majukwaa ya kimataifa kuifanya nchi ishaini pande zote?
Hatutaki afanye utalii kama JK, lakini ili taifa lolote liheshimike lazima hata Kiongozi wake awe hadharani na kuonyesha misimamo makini na ushawishi lakini sio kupokea ndege, kufungua soko au stand ya mabasi!
Kuzungumzia habari za Mabeberu ukiwa Katavi au Nanjilinji nikupoteza muda, nenda kayaseme hayo hukohuko kama Nyerere wanayekufananisha naye, au walikuwa wanakufananisha sura? Maana katika mengine huna hata moja mnafanana!
Au sababu nyingine mheshimiwa kaona amnyang'anye Makamu Mkasi wa uzinduzi ili afanye kazi zake na Makamu amfanyie zake?
Maana yake...Mshikaji ni KILAZA wa kutupwa yan...

Jamaa ye mwenyewe Mwaka wa 4 huu Bado anazungumzia kushangaa iliwezekanaje akakaa kwenye hicho kiti alichokalia, ndo maana haachi kwenda kupokea ndege mpya, Kuna Vitu vinamshangaza mnooo!
 
Hivi maana ya serikali kuwa taasisi ni nini? akienda mara hajui kingereza,angeenda pia urusi ungesikia anatembelea madicteta wenzie kwanini asiende marekani.

Rais Trump Ameshatembelea Nchi Ngapi Toka Ameingia Madarakani Hebu Nitajie.

Jpm Kashaenda Rwanda, Uganda, Kenya, Ethiopia, Zambia, Namibia, Na South. ni zaidi ya 7 sasa nitajie za Trump.

Mwingine nimeona amesema walienda kuonyeshwa silaha mpya so mkutano haukuwa na maana wewe tena unasema mkutano ulikuwa wa muhimu so ulitaka JPM akaonyeshwe silaha yaani ata nyie hamjui mnasimamia nini!
 
Yule jamaa ana jazba na anawachukia wazungu anahisi waweza muua kimya kimya ama akshindwa kujizuia jazba zikamzidi akaropoka kwa mabeberu kubwa kuliko inaelekea akienda huko hurudi kichwa kinamuuma kwa sababu ya Lugha gongana.
 
Hivi maana ya serikali kuwa taasisi ni nini?
Kwa hoja kama izi ccm watatutawala ata miaka 100 ijayo.
Sikutegemea kama unaweza kuitafsiri serikali kuwa "taasisi" katika level hiyo!
Rais anaweza kuwa anawakilishwa, lakini kumuona anakosa kuhudhuria nafasi adimu za yeye kuiwakilisha nchi na yale yawezayo kufanywa hata na mawaziri hakosi ni mshangao!
 
Hii mada inajengwa kama swali. Na kwa kuwa wapo humu wasemaji waliojipa cheo hicho basi ni vyema wakamjibia.

Mheshimiwa yeye kila mkutano nje ya nchi na mingine hata ya ndani ya kimataifa anakuwa anawakilishwa tuu, lakini shughuli ambazo sio muhimu kwa cheo chake yeye ni NEVER MISS.

Mfano mapokezi ya ndege, uzinduzi wa vitu mbalimbali, ufunguzi hata wa stand ya mabasi nk.

Sababu hasa ni nini? Kwanini anaikimbia mikutano ya nje na amekuwa anamtuma Makamu, PM au hata JK kesha wahi kutumwa wakati amestaafu na kujipumzikia?

Kwa nini hataki kwenda kumwaga cheche zake katika majukwaa ya kimataifa kuifanya nchi ishaini pande zote?

Hatutaki afanye utalii kama JK, lakini ili taifa lolote liheshimike lazima hata kiongozi wake awe hadharani na kuonyesha misimamo makini na ushawishi lakini sio kupokea ndege, kufungua soko au stand ya mabasi!

Kuzungumzia habari za mabeberu ukiwa Katavi au Nanjilinji nikupoteza muda, nenda kayaseme hayo huko huko kama Nyerere wanayekufananisha naye, au walikuwa wanakufananisha sura? Maana katika mengine huna hata moja mnafanana!
Au sababu nyingine mheshimiwa kaona amnyang'anye Makamu Mkasi wa uzinduzi ili afanye kazi zake na Makamu amfanyie zake?
Watu mna MANENO.......!
 
Wewe unafikiri yeye hajipendi?
 
Hivi maana ya serikali kuwa taasisi ni nini?
Kwa hoja kama izi ccm watatutawala ata miaka 100 ijayo.
Hapana. Haiwezekani unamtuma Makamu wa Rais na Waziri mkuu kwenda kwenye mambo muhimu kisha wewe Rais unapokea ndege. Ndege ambazo umekuwa ukizipokea mara sita na mbaya zaidi unaenda na serikali nzima. Huu ni upuuzi kwa kiongozi wa nchi kufanya hivyo!
 
Ila wanadamu ni wagumu kushughulikia hisia zao. JK alivyokuwa anasafiri kwenda nje, mkalalamika mpaka mkamwita Vasco da Gama. JPM hasafiri, bado mnalalamika.

Sasa nauliza swali.
KATI YA MVUA NA JUA BORA NINI?
 
Hii mada inajengwa kama swali. Na kwa kuwa wapo humu wasemaji waliojipa cheo hicho basi ni vyema wakamjibia.

Mheshimiwa yeye kila mkutano nje ya nchi na mingine hata ya ndani ya kimataifa anakuwa anawakilishwa tuu, lakini shughuli ambazo sio muhimu kwa cheo chake yeye ni NEVER MISS.

Mfano mapokezi ya ndege, uzinduzi wa vitu mbalimbali, ufunguzi hata wa stand ya mabasi nk.

Sababu hasa ni nini? Kwanini anaikimbia mikutano ya nje na amekuwa anamtuma Makamu, PM au hata JK kesha wahi kutumwa wakati amestaafu na kujipumzikia?

Kwa nini hataki kwenda kumwaga cheche zake katika majukwaa ya kimataifa kuifanya nchi ishaini pande zote?

Hatutaki afanye utalii kama JK, lakini ili taifa lolote liheshimike lazima hata kiongozi wake awe hadharani na kuonyesha misimamo makini na ushawishi lakini sio kupokea ndege, kufungua soko au stand ya mabasi!

Kuzungumzia habari za mabeberu ukiwa Katavi au Nanjilinji nikupoteza muda, nenda kayaseme hayo huko huko kama Nyerere wanayekufananisha naye, au walikuwa wanakufananisha sura? Maana katika mengine huna hata moja mnafanana!
Au sababu nyingine mheshimiwa kaona amnyang'anye Makamu Mkasi wa uzinduzi ili afanye kazi zake na Makamu amfanyie zake?
Hahahahaaaa eti ufunguaji wa stand za daladala jamaa hata ufunguzi wa Mfereji hakosi.
 
Back
Top Bottom