Kunani lakini?:wachina wengi kujazana africa!

Mr.Thinker

Senior Member
Dec 13, 2013
125
137
Habari zenu wakuu,
mbona ktk karne hii WACHINA wanazidi kumiminika AFRICA? Na hasa katika suala la uwekezaji?. sikatai kwamba kuna nchi zingine nyingi tu za magharibi.Lakini kwa hii kasi ya hawa WACHINA mmmh??

wakuu,What are the reasons behind?
 
Wameona kuna fursa.
Wanatumia kauli mbiu ya kamata fursa twenzetu.
 
nasikia waziri anaeshuhulikia ajira ya watanzania hana habari bado amevimbiwa
waziri wa mambo ya ndani ya ncji anaona ni ujiko vijana wake wa uhamiaji wakichukua rushwa kuwapa wachina vibali vya kukaa nchini waue tembo zaidi. hamwoni tembo wameangamia zaidi baada ya influx ya wachina. Mpaka mzee wa temno akaenda kufanya tayjmini juzi kule Songea
 

hivi lile sakata la pembe&meno ya Tembo zilzokamatwa kwa wale wachina waliokuwa wana'act' wauzaji wa vitunguu,limeishia wapi?! au ndo sirikali enyewe!
 
bora waongezeke tu maana watu weusi ni uchawi na ushirikina ndo tumeuweka mbele. Waje tu hao wachina tupate blacknese.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…