Kunani lakini?:wachina wengi kujazana africa!

Mr.Thinker

Senior Member
Dec 13, 2013
126
250
Habari zenu wakuu,
mbona ktk karne hii WACHINA wanazidi kumiminika AFRICA? Na hasa katika suala la uwekezaji?. sikatai kwamba kuna nchi zingine nyingi tu za magharibi.Lakini kwa hii kasi ya hawa WACHINA mmmh??

wakuu,What are the reasons behind?
 

Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,809
2,000
Wameona kuna fursa.
Wanatumia kauli mbiu ya kamata fursa twenzetu.
 

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
589
0
nasikia waziri anaeshuhulikia ajira ya watanzania hana habari bado amevimbiwa
waziri wa mambo ya ndani ya ncji anaona ni ujiko vijana wake wa uhamiaji wakichukua rushwa kuwapa wachina vibali vya kukaa nchini waue tembo zaidi. hamwoni tembo wameangamia zaidi baada ya influx ya wachina. Mpaka mzee wa temno akaenda kufanya tayjmini juzi kule Songea
 

Mr.Thinker

Senior Member
Dec 13, 2013
126
250
nasikia waziri anaeshuhulikia ajira ya watanzania hana habari bado amevimbiwa
waziri wa mambo ya ndani ya ncji anaona ni ujiko vijana wake wa uhamiaji wakichukua rushwa kuwapa wachina vibali vya kukaa nchini waue tembo zaidi. hamwoni tembo wameangamia zaidi baada ya influx ya wachina.

hivi lile sakata la pembe&meno ya Tembo zilzokamatwa kwa wale wachina waliokuwa wana'act' wauzaji wa vitunguu,limeishia wapi?! au ndo sirikali enyewe!
 

fakenology

JF-Expert Member
May 3, 2012
925
1,000
bora waongezeke tu maana watu weusi ni uchawi na ushirikina ndo tumeuweka mbele. Waje tu hao wachina tupate blacknese.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom