Kunani hapa?

Mtu wa watu kajilalia zake kitandani kifudifudi kaamua kunyanyua kimguu kimoja juu..ila pazia Lina kiherehere sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikilala kifudifudi napenda nyanyua tumiguu twangu juu
Dah..[emoji848][emoji2827].. Ok ok sawa..[emoji1545][emoji1545][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Huyo kalalia mgongo na kisogo ila kuhusu nini anafanya au anafanywa mi sijui!
 
Mtu wa watu kajilalia zake kitandani kifudifudi kaamua kunyanyua kimguu kimoja juu..ila pazia Lina kiherehere sasa
Mbona mguu unaonekana wa mtu aliyelala chali? [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…