Kuna yeyote aliyewahi kusamehewa Deni la SONGESHA? Nahisi kuingizwa kwenye 18 zao

Ukwel hata mm hivohivo, unajua walionivuruga n tamisemi, walipotangaza kuhusu dirisha la kuomba ajira ikabidi nianze kufukuzia vyeti vyangu, yan kusafiri tu ilinicost sana ndo nikaingia kwa songesha nikasukuma elfu 19,000. Aiseee nimerud sina chanzo cha kuwalipa. Mpk now natamn kuwalipa ila ndo hivo tena sina hela tena. Wanisamehe tuuuu. Nitawalipa voda naipenda
Ndio haya mambo ya dharura ukiwa na matumaini mazuri ya baadaye lakini mambo yanabadilika bila kutarajia, hadi tunafikia hatua hii
 
Wewe endelea tu kucheza mchezo wa paka na panya. Ila siku kwa bahati mbaya sana ukatumiwa hela kupitia mpesa, ndipo utakapo tamani kulia.

Maana jamaa watachukua hela yao na kukushukuru kwa uamimifu wako.
Kuhusu suala la kutumiwa hela, huwa nawaambia watu kuwa Voda haiko salama badala yake watumie Halotel. Wapo ambao walishazoea kabisa kuitumia Halotel ingawa inafika kipindi inakuwa usumbufu kutokana na kukosekana huduma ya Halotel baadhi ya maeneno(hili ndio linanisukuma sana kulipa hili deni, ili line iwe salama)

Pindi nikipata hela nitawalipa bila hiyana
 
Songesha miyeyusho sana,😀😀😀 Wananidai kama 15k sasa jana Nikapata gawio la M pesa ambalo lilikuwa ni 50Tsh eti Songesha wakakata hiyo hamsini kupunguza deni lao.😀😀😀
Kumbe hata wew umepata kutoka kwa faida mpesa🤣🤣🤣 mm nimepewa 54 nayo ikakatwa, yan wanajipa wenyewe na kukata wenyewe, naambulia sms tu🤣🤣🤣🤣
 
Hahahhahaahah, Deni hujui utawalaipa lini! mbona unawakatisha tamaa hivyo!?!?! Ungewaambia tu kuwa utawalipa siku

Umeenda kinyume na uchumi wa Nchi!?!!.

Mi mwenyewe hapa M-pawa wamechoka kunikumbusha deni lao la 17,000/= (M-pawa wako pouwa sana, hawakati deni automatic).

Songesha nadaiwa 35k Dah!

Ila nitawalipa siku moja wanasaidia sana.

Mkuu ni ukweli usiopingika sijui nitawalipa lini, kikubwa wawe na subira
 
Mkuu ni ukweli usiopingika sijui nitawalipa lini, kikubwa wawe na subira
Hahahahah...Tigo pesa ndo iko pouwa....walinisamehe deni lao, hawalizungumzii...na Tigo pesa ndo naitumia kila siku.

Hawanikumbushi, lkn pia hawanikopeshi...nilivyo mchokozi, kuna siku nikawaTest kukopa tena wakaishia kuniambia nina deni siwezi kukopa.

Tigo mbarikiwe sana, nitawalipa siku...ila sasa tigo mpunguze gharama za vifurushi, muongeze Data
 
Bora hao wamekuwa wakweli sio hawa Voda wanatumia mbinu za kutula vichwa tu
 
Back
Top Bottom