Kuna wizi umetokea bank kuu!!!

Kuna wizi umetokea bank kuu!!!

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
[h=5]KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU
•••••••••••••••••••••••••••••• •••••
Jambazi: "wote laleni chini pesa ni
za serikali na maisha ni ya
kwenu",wote wakalala chini
... HII INAITWA DHANA YA
USHAWISHI-kubadilisha njia ya
kawaida ya kufikiria
•••••••••••••••••••••••••••••• •••••••
Kuna dada kwa woga akawa
amelala chini kimitego,
Jambazi: "dada embu kuwa na
adabu chukua kanga jifunike hili ni
tukio la ujambazi na sio la
ubakaji.
HUU UNAITWA WELEDI-zingatia
ulichofundishwa kufanya
•••••••••••••••••••••••••••••• •••••••••
Walipotoka kwenye wizi jambazi
mdogo ambaye ana shahada ya
uzamili ya biashara akamwambia
mwenzake,"tuzihesabu hizi
fedha,yule mkubwa akamcheka
kwa dharau na kumjibu,"wewe
mjinga sana hizo hazina haja ya
kuhesabu, saa mbili watatutangazia
kwenye taarifa ya habari tumeiba
kiasi gani.
HUU INAITWA UJUZI-Siku hizi ujuzi
ndio bora kuliko vyeti (The doctrine of Perfomance & Proper qualification)
•••••••••••••••••••••••••••••• •••••••••••
Baada ya majambazi kuondoka
meneja akamwambia mhasibu wa
bank, " ujumlishie na zile milioni
80 tulizo iba sisi".
HUKU KUNAITWA KUOGELEA NA
MKONDO WA MAJI- kushabiihana
na mazingira magumu kwa faida
binafsi.
•••••••••••••••••••••••••••••• ••••••••••••
Mhasibu akafurahi na
kusema,"dah wizi ukitokea kila
mwezi itakuwa burudani sana.
HUKU KUNAITWA KUWA NA
MAWAZO CHANYA-Furaha ndio
kitu muhimu zaidi
•••••••••••••••••••••••••••••• ••••••••••••
Meneja kafurahi sana kwakuwa
sasa matatizo yake yametatuliwa
na wizi uliojitokeza.
HUKU KUNAITWA KUTHUBUTU-
shikilia nafasi pale inapojitokeza
hata kama ni hatari kiasi gani
•••••••••••••••••••••••••••••• ••••••••••••
Haya usiku wake taarifa ya habari
ikatangaza kuwa wizi mkubwa sana
wa millioni 100 umetokea leo
benki kuu,
Majambazi kuskia hivyo wakaanza
kuhesabu zila pesa lakini
wakajikuta na milioni 20 tu.
Yule jambazi mkubwa akashtuka
na kusema, "dah! yani meneja
kaiba mara nne zaidi yetu bila
kuchezesha msuli, bora umeneja
kuliko ujambazi".
HII INAITWA ELIMU.
[/h]
 
Hakuna aliyebisha, nenda Kisutu basi kafungue kesi...vingapi vinarudiwa humu! huoni hata ww umeisoma tena kwasababu imekuja kwa mtindo tofauti, mimi sikujua kama ilishapostiwa ndo mana nikaipost

Too contradictory, Humu jukwaani unajifunga mwenyewe kisutu utaweza kusimama na mimi kweli?, Anyway usitoe povu sana it was just a reminder kuwa ulipodesa wewe wenzio walishamaliza.
 
Ha ha pole, ila aim ya tittle ni kuwavutia wasomaji wengi zaidi, nilijua ikikaa ivyo ilivyo wengi wangevutiwa kuisoma
Toka hapa mtu mwenyewe kilaza umetoa mfuko wakulia ukapeleka kushoto utasema wewe ni mwizi hatare???ungekuwa umeondoka nazo lakini unajiibia??:smash:
 
Toka hapa mtu mwenyewe kilaza umetoa mfuko wakulia ukapeleka kushoto utasema wewe ni mwizi hatare???ungekuwa umeondoka nazo lakini unajiibia??:smash:

Sitashangaa sana kama ww ni mtoto wa kike, lkn kama ni wa kiume i doubt kama uko sawa, cheki hii phrase "toka hapa"...mmh!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom