JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,096
- 9,691
- Thread starter
- #21
Isije ukawa unazungumzia jingle ya kipindi Ndugu Mdau!Labda kama hujawahi kuisikia Ndolela! Kipindi hicho kwenye 2000's Kipindi cha Bonga na star, kuna jamaa alikuwa anaitwa Musa toll akiuchagua huu wimbo basi ndio unapigwa mpaka mwisho wa kipindi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1493][emoji1493][emoji1493][emoji377][emoji377][emoji377]