Kuna wenye uelewa zaidi wa kinga hii ya PREP?

KimChi

Senior Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
123
Reaction score
166
Mko poa wadau,

Nimeona taarifa kuwa kuna baadhi ya watu wasio na VVU kutumia dawa za PREP kila siku katika maisha yao ili kujikinga na VVU kwasababu wamechagua kufanya ngono na yoyote bila condom na kuenjoy sex life. Na wamethibitisha kutopata VVU hata waliposhiriki na watu wenye maambukizi. Je? Kuna mdau yeyote mwenye uelewa zaidi kuhusu hili, na je ndio hivi wanandoa wenye hali tofauti kiafya hufanya ili kutoambukizana VVU?

NYONGEZA;

Pia katika taarifa hiyo nimepata hiki, kuwa;

Kuna tafiti zinafanywa ili kupata sindano ambayo mwenye VVU atachoma kwa Mwezi au miezi 6 mara moja ili kuwa mbadala wa kumeza mavidonge kila baada ya masaa kadhaa. au kupata pandikizi(implant) ambayo itapandikizwa kwa mgonjwa na kubadilishwa kila baada ya mwaka mmoja ili kuwafanya wenye VVU waache mateso ya kufuata ratiba za kila mara za vidongr na sindano hivyo waishi maisha ya kawaida.
 
Sio mkuu, Hiyo wanascience kabisa walikuwa wanaelezea na kuna mabachelor wakatoa ushuhuda kabisa huko new york, swali likanijia huenda labda na tz kuna watu huishi hivyo maana kuna wanandoa wengi tu unakuta mmoja kati yao ana vvu hawatumii condom na wana watoto ila hawaambukizani. Me nahisi kuna elimu tunafichwa sijui hapa au?!...Labda hadi uonesha utayari wa kumuoa mwenye VVU ndio utaambiwa hili!? au hawa watu wanafanyaje?!.

kingine kilichonishawishi ni kuwa kama unaweza kuepuka VVU kwa kutumia PREP kwa siku 28 kwa kuanza dose ndani ya masaa 72 baada ya kufanya tukio linaloweza kukuambukiza vvu(ngono na muathirika, kushare sindano na muathirika, nk.) basi nikaconclude kuwa hiyo njia pia inawezekana endapo utatumia PREP siku zote. Sio kama kinga bali kuweka majeshi tayari muda wote kupambana endapo uko na risk kubwa ya kuambukizwa anytime au bila kujua.

Wataalam wanasema kwa muda mrefu imewasaidia wengi mbinu hii na kupunguza maambukizi New York. Tatizo ni gharama kubwa kununua dawa hizo na kuzitumia kila siku. Hvyo wanaomudu ni wachache. Watengenezaji pia wanadai kupunguza bei ili ziuzwe katika pharmacy za kawaida haitawapa faida kibiashara. Hivyo serikali hasa za hununua na kuzitoa kwenye mahitaji maalumu.
 
PEP zinaitwa Post Exposure Prophylaxis- in which they proctect someone from being affected by HIV baada ya kuwa exposed na vitu mfano kujichoma na sindano ya mtu aliyeathirika ,ama unsafe sex na mwenye HIV within 72hrs.

Ila hiyo kila siku hata kabla mmh labda wataalamu zaidi watusaidie kutudadavulia.
 
Wiki mbili au Tatu zimepita hapa kituo ninachotafuta ngawila na kuhakikisha mkono hauchi kwenda kinywani walikuja watu wa AGPAHI najua baadhi mtakuwa mnawafahamu Hawa watu wanahusika sana na masuala ya HIV/AIDS

Walikuwa na meeting na baadhi ya wafanyakazi toka kila idara, Katika idara yetu nilipata nafasi ya kuweka makalio yangu kuwaadhima masikio yangu kwa muda kidogo!! Na moja ya suala walilozungumzia ni juu ya PREP wakasema hii itakuwa mahususi hasa kwa wanandoa mmoja ni Positive na mwingine Negative kuwa yule asie na maambukizi atatumia hii PREP maisha yake yote ila hatakuwa na clinic wala kufanya zile Basic investigations Kama CD4,HVL, ASAT, ALAT, urea&Creatinine Kama wale Postive lengo kubwa ya hizi Dawa ni kumkinga yule asie na maambukizi katika kipindi Chao chote Cha maisha!!!
 
Mchumba umeelezea vizuri sana[emoji122][emoji122]
 
Sio mkuu, Hiyo wanascience kabisa walikuwa wanaelezea na kuna mabachelor wakatoa ushuhuda kabisa huko new york, swali likanijia huenda labda na tz kuna watu huishi hivyo maana kuna wanandoa wengi tu unakuta mmoja kati yao ana vvu hawatumii condom na wana watoto ila hawaambukizani. Me nahisi kuna elimu tunafichwa sijui hapa au?!...Labda hadi uonesha utayari wa kumuoa mwenye VVU ndio utaambiwa hili!? au hawa watu wanafanyaje?!.

kingine kilichonishawishi ni kuwa kama unaweza kuepuka VVU kwa kutumia PREP kwa siku 28 kwa kuanza dose ndani ya masaa 72 baada ya kufanya tukio linaloweza kukuambukiza vvu(ngono na muathirika, kushare sindano na muathirika, nk.) basi nikaconclude kuwa hiyo njia pia inawezekana endapo utatumia PREP siku zote. Sio kama kinga bali kuweka majeshi tayari muda wote kupambana endapo uko na risk kubwa ya kuambukizwa anytime au bila kujua.

Wataalam wanasema kwa muda mrefu imewasaidia wengi mbinu hii na kupunguza maambukizi New York. Tatizo ni gharama kubwa kununua dawa hizo na kuzitumia kila siku. Hvyo wanaomudu ni wachache. Watengenezaji pia wanadai kupunguza bei ili ziuzwe katika pharmacy za kawaida haitawapa faida kibiashara. Hivyo serikali hasa za hununua na kuzitoa kwenye mahitaji maalumu.
HiVI UNAJUA ADHA YA KUTUMIA DAWA KILA SIKU ?... Tena huumwi Bali unaTAKA KUFANYA Uzinifu Bila Kinga kwa kujikinga na HIV...Lakini gonorreah, syphilis nk..utajitibia TU?

MBONA TUNAENDEKEZA NGONO KIASI HICHI...SO SAD
 
Wiki mbili au Tatu zimepita hapa kituo ninachotafuta ngawila na kuhakikisha mkono hauchi kwenda kinywani walikuja watu wa AGPAHI najua baadhi mtakuwa mnawafahamu Hawa watu wanahusika sana na masuala ya HIV/AIDS

Walikuwa na meeting na baadhi ya wafanyakazi toka kila idara, Katika idara yetu nilipata nafasi ya kuweka makalio yangu kuwaadhima masikio yangu kwa muda kidogo!! Na moja ya suala walilozungumzia ni juu ya PREP wakasema hii itakuwa mahususi hasa kwa wanandoa mmoja ni Positive na mwingine Negative kuwa yule asie na maambukizi atatumia hii PREP maisha yake yote ila hatakuwa na clinic wala kufanya zile Basic investigations Kama CD4,HVL, ASAT, ALAT, urea&Creatinine Kama wale Postive lengo kubwa ya hizi Dawa ni kumkinga yule asie na maambukizi katika kipindi Chao chote Cha maisha!!!
Ok kama nakuelewa hivi, kwahiyo kuna PREP and PEP ,sasa maisha yote unatumia hizo PREP mbona issue sana🤔🤔 je ukikatisha kidogo kisha ukaanza tena itakuaje?, na zile side effects kama PEP mfano ndoto za ajabu, kuwa moodless sometimes ndiyo zitakua za maisha yote?

All in all tujitahidi tu kulinda afya zetu na wengine pia hili gonjwa masharti yake magumu mno, dawa daily yani daily😒😒
 
HiVI UNAJUA ADHA YA KUTUMIA DAWA KILA SIKU ?... Tena huumwi Bali unaTAKA KUFANYA Uzinifu Bila Kinga kwa kujikinga na HIV...Lakini gonorreah, syphilis nk..utajitibia TU?

MBONA TUNAENDEKEZA NGONO KIASI HICHI...SO SAD
Ni kipindi fulani tu katika maisha ya ubachelor ambapo sketi zinapishana nying mlangoni. Mtu akioa anaacha ila aufaidi ubachelor akiwa salama salmin. Nyie ndo mnafanya hizi elimu watu wanafichwa mwisho wa siku wakiambukizwa mnawanyanyapaa
 
Hayo yanazoeleka, me sijasikia wazungu wakilalamikia saana kuota mazombi nk. kutishana na story za wadau na wengine hata kutumia hawajawahi bali nao wana story za kupewa. Vitu vingine ni psychology ya mtu tu.
 
Sasa.. na hayo MARADHI mengine YA NGONO VIPI?... Nasiku hizi Kuna hepatitis .. human papillon virus....

Kama huko ni kuufaidi ujana ukiwa salama salmini... Sawa
 
Hayo yanazoeleka, me sijasikia wazungu wakilalamikia saana kuota mazombi nk. kutishana na story za wadau na wengine hata kutumia hawajawahi bali nao wana story za kupewa. Vitu vingine ni psychology ya mtu tu.
Sasa kwanini wewe usifanyie kazi huo utafiti...KUNYWA HIZO PEP... Ufanye utakako kwa YEYOTE...
 
Mko poa wadau,

Nimeona taarifa kuwa kuna baadhi ya watu wasio na VVU kutumia dawa za PREP kila siku katika maisha yao ili kujikinga na VVU kwasababu wamechagua kufanya ngono na yoyote bila condom na kuenjoy sex life. Na wamethibitisha kutopata VVU hata waliposhiriki na watu wenye maambukizi. Je? Kuna mdau yeyote mwenye uelewa zaidi kuhusu hili, na je ndio hivi wanandoa wenye hali tofauti kiafya hufanya ili kutoambukizana VVU?

NYONGEZA;
Pia katika taarifa hiyo nimepata hiki, kuwa;
Kuna tafiti zinafanywa ili kupata sindano ambayo mwenye VVU atachoma kwa Mwezi au miezi 6 mara moja ili kuwa mbadala wa kumeza mavidonge kila baada ya masaa kadhaa. au kupata pandikizi(implant) ambayo itapandikizwa kwa mgonjwa na kubadilishwa kila baada ya mwaka mmoja ili kuwafanya wenye VVU waache mateso ya kufuata ratiba za kila mara za vidongr na sindano hivyo waishi maisha ya kawaida.
Yah swala LA prepila no gharama s

Kuna tafiti zinafanywa ili kupata sindano ambayo mwenye VVU atachoma kwa Mwezi au miezi 6 mara moja ili kuwa mbadala wa kumeza mavidonge kila baada ya masaa kadhaa. au kupata pandikizi(implant) ambayo itapandikizwa kwa mgonjwa na kubadilishwa kila baada ya mwaka mmoja ili kuwafanya wenye VVU waache mateso ya kufuata ratiba za kila mara za vidongr na sindano hivyo waishi maisha ya kawaid
Mko poa wadau,

Nimeona taarifa kuwa kuna baadhi ya watu wasio na VVU kutumia dawa za PREP kila siku katika maisha yao ili kujikinga na VVU kwasababu wamechagua kufanya ngono na yoyote bila condom na kuenjoy sex life. Na wamethibitisha kutopata VVU hata waliposhiriki na watu wenye maambukizi. Je? Kuna mdau yeyote mwenye uelewa zaidi kuhusu hili, na je ndio hivi wanandoa wenye hali tofauti kiafya hufanya ili kutoambukizana VVU?

NYONGEZA;
Pia katika taarifa hiyo nimepata hiki, kuwa;
Kuna tafiti zinafanywa ili kupata sindano ambayo mwenye VVU atachoma kwa Mwezi au miezi 6 mara moja ili kuwa mbadala wa kumeza mavidonge kila baada ya masaa kadhaa. au kupata pandikizi(implant) ambayo itapandikizwa kwa mgonjwa na kubadilishwa kila baada ya mwaka mmoja ili kuwafanya wenye VVU waache mateso ya kufuata ratiba za kila mara za vidongr na sindano hivyo waishi maisha ya kawaida.

Mko poa wadau,

Nimeona taarifa kuwa kuna baadhi ya watu wasio na VVU kutumia dawa za PREP kila siku katika maisha yao ili kujikinga na VVU kwasababu wamechagua kufanya ngono na yoyote bila condom na kuenjoy sex life. Na wamethibitisha kutopata VVU hata waliposhiriki na watu wenye maambukizi. Je? Kuna mdau yeyote mwenye uelewa zaidi kuhusu hili, na je ndio hivi wanandoa wenye hali tofauti kiafya hufanya ili kutoambukizana VVU?

NYONGEZA;
Pia katika taarifa hiyo nimepata hiki, kuwa;
Kuna tafiti zinafanywa ili kupata sindano ambayo mwenye VVU atachoma kwa Mwezi au miezi 6 mara moja ili kuwa mbadala wa kumeza mavidonge kila baada ya masaa kadhaa. au kupata pandikizi(implant) ambayo itapandikizwa kwa mgonjwa na kubadilishwa kila baada ya mwaka mmoja ili kuwafanya wenye VVU waache mateso ya kufuata ratiba za kila mara za vidongr na sindano hivyo waishi maisha ya kawaida.
Kuna utafauti mkubwa kati ya prep na pep.Prep in pre-exposure prophylaxis (au huitwa (Truvada kama brand name) na ni muunganiko wa dawa mbili ambazo ni (tenofovir and emtricitabine)

Kwaio kma unatka ufanye mpenzi bila kinga nikimanisha kondomu(unprotected sex) basi unashauliwa unywe prep. Na kwa prep inatakiwa unywe mbili 24hrs kabla ya tendo ndoa na nyingine mbili 24hrs after in order to achieve full protection na hii ni kwa vaginal sex
Ila kwa anal sex una kunywa mbili 24hrs before sex na after sex unashauliwa unywe mfululizo mpka utimize Siku saba

Ila kama n mtu wakufanya mpenzi kila wakati basi inashauriwa unywe kama daily dose.Prep INA protect HIV kwa ailimia 99% hii ni kutokana na chunguzi za wanasayansi na bei ya prep c ya kitoto nilishawah kuagiza 30days supply dosage ilikuwa ni sh milioni moja na kaki nne angalizo prep haizuii std zingine kma herpes, gonorrhea na mengineyo ila Luna spray huwa unapewa kupunguza exposer to Bacteria kama wa gonorrhea kma utanunua hiyo prep kwa baadhi ya maduka

Upande wa PEP (post-exposure prophylaxis) hii hutumika kama emergency kama unahisi una possible exposure na mtu mwenye HIV either kimapenz au njia zingine ambzo huambukiza HIV Ila lazima unze dose immediately within 72hrs na ili ifikie full protection level dose take lazima unywe kwa 21days wengine hushauriwa mpka 30days lkin PEP ina side effect nyingi sana inapofanya kazi nwilini mfano headache, fatique diarrhea na nyingine .Hii dawa sio gharama waweza pata bure
 
Back
Top Bottom