comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,456
- 11,517
Kulingana na press ya mwisho ya slowslow anasema kuna wazee ambao walikua na misimamo ila nao washalambishwa asali, baada ya uchaguzi watasimamia maridhiano ya kitaifa ili kuhalalisha yaliyotokea yote.
Na moja ya mzee huyo jana kaonyesha kweli kalamba asali, na siku za nyuma polepole alishawahi kusema huyo mzee na mwingne kama wawili hivi ndio kama walezi wake.
Je?! inawezekana wazee/Mzee huyo baada ya kulamba asali alikua anajua location alipo bwana slowslow akamuuza??