Kuna watumishi wanajua kukopa nyie!

Kuna watumishi wanajua kukopa nyie!

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Mwamba huyu hapa, take home ya kibazenga mno

Basic Salary 1,390,000
Take home 463,334

Mwamba kwelikweli
IMG_1617.jpeg
 
Huyo mwalimu naye punguani.kwa nini asikope bank moja sasa au alikuwa anafanya utafiti wa benk.alibakiza bank moja tu azjmalize bank zote nchin
Mkuu kwani ukikopa bank moja linakua sio deni?

Ukimkopa Abdallah shilingi 15k ina tofauti gani na ukimkopa Betrice 5k, Ambokile 5k, Gb-64 5k?
 
Mkuu kwani ukikopa bank moja linakua sio deni?

Ukimkopa Abdallah shilingi 15k ina tofauti gani na ukimkopa Betrice 5k, Ambokile 5k, Gb-64 5k?
Kumbuka kila mmoja hapo ana riba yake. Kwahiyo unaweza jikuta average ya riba ni kubwa kuliko ungetumia riba ya bank moja

Pia kila mkopo mmoja wa bank unakatwa bima na application fee. Ungechukua bank moja, ungekatwa bima + application fee mara moja.
 
Anaona kukopa sehemu nyingi ni sifa sana kana kwmba atapewa cheti cha mkopaji bora…..Kwa mshahara huo kwenye ualimu hapo maana yake hakosi miaka 40+ kama hiyo hela hakuenda kufanyia productive issues automatically huyu ni ombaomba mtarajiwa!
Kutokuwa na uelewa wa kukuza kipato/mshahara, ni mbaya sana.

Maisha unayaona magumu, una-complicate mambo. Wakati kipato kinatosha kabisa kukikuza
 
Back
Top Bottom