JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,091
- 4,715
Tangu Mondi anunue Rolls-Royce kuna watu wamekuwa wanasema eti Mondi ndiyo next Bill Gates, wengine eti wametupia picha za Diamond na Rolls Royce yake culinan na kufananisha na Christian Ronaldo na Rolls-royce yake Phantom bila kujua kuwa phantom ni ghali zaidi ya culinan, na ukizingatia Ronaldo ya kwake lazima itakua special order hivyo itakua ghali maradufu kuliko phantom za kawaida, kuliko culinan la jamaa yetu la kuvizia nani anauza mtumba anunue.
Haya sasa kwakuwa umaarufu gharama Christiano Ronaldo kaposti gari mpya leo wiki moja baada ya kuposti Rolls Royce, leo kapost SUV la bei mbaya kuliko yote Mercedes Benz G63 Brabus, bei mara mbili ya culinan kiwandani achilia mbali special edition ya Ronaldo na ofa zake.
Nilisema huyu msanii kaingia cha kike unavunja kibubu cha miaka 10 unanunua gari la billioni wiki moja watu wananunua jingine la billioni tatu haya basi nenda na wewe ukanunue tunakuangalia kama una pumzi.