Kuna watu wanajua kushereheka, we acha tu!

Kuna watu wanajua kushereheka, we acha tu!


9fe9729c3aa7ff948ac730c90ac1dd52
Hii kule kwetu inaitwa KISANVU CHA KOPO - Au kule kwa wakwe zangu wanasema UNAZAMA CHUMVINI!
 
Hii kule kwetu inaitwa KISANVU CHA KOPO - Au kule kwa wakwe zangu wanasema UNAZAMA CHUMVINI!

Hayo mambo ndio yanawafanya watu wengi kufa bado vijana wabichi. Moja wapo ya sababu ya ongezeko la idadi ya vifo ni hii, haya mambo ya kuiga haya, watu wanalambana kama ng'ombe!
 
Eeeh mahaba niue!Hii lazima itakua baikoko huyo jamaa angemfanya ivo dada angu mi ningempatia bure tu!
 
Back
Top Bottom