Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
MO11umezidi sasa khaa....hata kama ndo kwa hisani ya viroba that's too much..!!
wiki ijayo utaninunulia bando ili.uendelee kufurahi
picha nimeiangalia nimecheka kuja kukutana na jina langu ndio umeua mbavu zangu zotee
ha ha ha ha ha
akitoka hapo jasho la chumvini asiponawa uso akilala atakapoamka ni kutu usoni
aibu utaona wewe