ericjames574
Member
- Aug 30, 2015
- 44
- 32
kwa kweli Kuna watu wanaharibu maana nzima ya love connect ni bora mtuachie jukwaa haiingii akilini kuona kuwa mtu anafanya haya
1. Ukitafutwa pm hujibu meseji
2. Ukitoa namba inakuwa ya mtu mwingine
3.ukipokea cm unajifanya hulijui hili jukwaa
4. Kuna wengine hasa wanawake hawatafuti wapenzi wapo tu kwa ajili ya kuwakatisha watu tamaa na kuwapiga vizinga

Kwani amekupunguzia nini?Heb tafuta hela wewe. Alaa !!
Aache kulalamika. Times have changed.Kwani amekupunguzia nini?
Lakini unajua ya kwamba upo jukwaa gani? [emoji39] [emoji39]Aache kulalamika. Times have changed.
Nitafute mimiNi mwaka wa nne huu niko JF na sijapata mpenzi au ninasurg bivaya?
Ni mwaka wa nne huu niko JF na sijapata mpenzi au ninasurg bivaya?
Unamsemea ye hana mdomo/ID ??Lakini unajua ya kwamba upo jukwaa gani? [emoji39] [emoji39]
Ufafanuz gani bibie?Ukiwa huku lazima utafute mchumba? Ufafanuzi plz
Changamoto tu hizo mkuu mchujo hauwezi kuwa ize ize. Kuna vidume wanatoboa humo humo
Kasafishe hiyo nyota ya ujane!