Kuna watu wanaamini Brahim Diaz alijikosesha penati!!

Kuna watu wanaamini Brahim Diaz alijikosesha penati!!

kama unakataa kwamba penalty ile haikupangwa jiulize yafuatayo

1. Kwa nini wachezzaji wa Senegal hawakuja kumpongeza kipa kwa kudaka ukizingatia mpira ulikuwa dikika za mwisho? katika hali ya kawaida wangekuja kumbeba juu juu
2. Kwa nini Senegal hawakushangilia?
3. Kwa nini wachezaji wa Senegal hawakukimbia golini kuondoa mpira kama kipa atapangua?
4. Kwa nini mchezaji aliyekosa penalt dakika za lala salama hakuonyesha kusikitika?
5. Kwa nini wachezaj wa Morroco walionyesha kukubaliana na penalty ile?
Huna hoja wewe, Senegal hawakupinga wakati walitoka hadi nje ya uwanja..!!

Hoja zako zote hazina mashiko na sijui wewe ulitaka Diaz apigeje penalti na unaongea utafikiri kuna namna fulani moja tu ya kupiga penalti.

Kama Morocco hawakua wanahitaji ushindi ni kwa nini walilalamika sana wapewe penalti baada ya mara ya kwanza refa kughairi?
 
Hata angepata maneno bado yangekuwepo
 
Waliowahi kufunga penati ya Panenka katika michezo ya fainaili under pressure

Antonin Panenka
Fainaili ya Euro 1976
( Baada ya kufunga penati hii... staili ya upigaji wake ikaitwa kwa jina lake)

Zinedine Zidane
Fainali Kombe la Dunia 2006

Alex Sanchez
Fainali Copa America 2015

Waliokosa
Andres Pirlo
Fainali Euro 2012

Lionel Messi
Fainali Copa America 2016

Sergio Ramos
Nusu Fainali Champions League 2012

Na huyo Mmoroko ataingia kwenye rekodi ya waliokosa kupiga penati Panenka!
 
. Kwa nini wachezaji wa Senegal hawakukimbia golini kuondoa mpira kama kipa atapangua?
Ile nahisi alifanya kusudi kujikosesha.
Ila hoja yako hapo juu naipinga. Wachezaji wachache wa Morocco na wa Senegal walikimbilia golini hatu chache wakasimama baada ya kuona Mendy ameudaka mpira hajapangua (Mendy didn't punch the ball).
 
Mimi naona aliipiga kwa dharau harafu Morocco waidhihaki Senegal!
Labda awe alihongwa hela na Wasenegali!
 
Mkuu upo sahihi, situation ya Senegal kugoma kuendelea na mchezo ingeleta fedheha kubwa kwa Morocco na CAF, sababu wamebebwa sana. Akashawishiwa Mane awaambie wenzake warudi ili ipigwe penalty feki ziongezwe dk 30 pambano lianze upya. Ndo maana alipiga vibaya makusudi kuua soo. Baada ya pale refa akaanza kuwa fare hadi mwisho. Illa mara nyingi watu wanaojionaga wanajua ndo hua hawajui kama mleta mada.
Alooooh.. hii mbona ni maajabu sana.

Yan mechi ya maamuzi kama ile kuna mtu anaweza kuwa na mawazo kama haya kweli?
 
Panenka ninini?
gugu mkuu, si unasmart phone? ila kwa kifupi penanka penalty ni stail ya kupiga penalty ambapo mpigaji anaubetua mpira kwa juu kwa uelekeo wa ktkt ya goli ambapo atampoteza kipa kwani kpa atakuwa either kadive kusoto au kulia. upigaj wa penalty huu ulipata umaarufu kwani kwa mara ya kwanza mpigaji alikuwa ni ni antonio penanka wa czech mwaka 1976 kwenye final za euro ambapo ilikuwa ni winning penalty, ndo stail hyo ya upigaji rasmi ikaitwa penanka.
 
Unamfahamu Diaz kweli wewe?

Hakuna Professional anaweza kupiga hivyo goli la kuamua ubingwa dakika ya nyongeza!!

Kwanza angefunga hilo goli lilikuwa ni kunogesha record kwake kufunga magoli mengi msimu mmoja wa mashindano hayo.

Huo ni mchongo hata kwa common sense tu,simu zimepigwa kama nini!!
Ulivyoanza tu sentensi ya kwanza nikajua uwezo wako mdogo
 
Ulivyoanza tu sentensi ya kwanza nikajua uwezo wako mdogo
Watu ni WAPUMBAVU sana mkuu. Yani Morocco akubali kukosa kombe kirahisi vile ukiangalia anamika kibao sana hajawahi kubeba taji lile. Panenka style ni nzuri sana ukipata ila ukikosa inaonekana ni penalty ya uzembe na mpigaji lazima utalaumiwa sana. Refer mechi ya chelsea na man city aguero alipiga panenka style na mendy aliudaka hivyo hivyo kwa dharau lilikua kombe la europa nahisi.
 
Back
Top Bottom