Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,870
- 7,347
Kuna mijitu humu ni mipumbavu pro max eti penalty ya mchongo, what if mendy angeenda kushoto au kulia ingekuaje? Unamuamini vipi mtu awafate awaambie rudini uwanjani tutapiga penalty ya kujikosesha ili mpira uendelee? Wakifunga inakuaje mtagoma tena? unadhani senegal angewaamini waarabu kuhusu kauli hiyo? Ficheni upumbavu wenu nyie.