Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Kuna watu wa soka wanaamini Brahim Diaz aliamua kujikosesha makusudi ile penati ili kuwarudisha mchezoni Senegal na isionekane kama wamefanyiwa hujuma.
Mimi nakataa, Diaz kakosa kiuhalisia kabisa. Golikipa Mendy sio mara yake ya kwanza kudaka penati ya panenka.
Alishawahi kudaka penati ya Aguero kwenye EPL kama alivyofanya jana.