tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
- Thread starter
- #41
U should be silent girlMimi sio mgeni na silii lii kutafuta kusikilizwa kama wewe
U should be silent girlMimi sio mgeni na silii lii kutafuta kusikilizwa kama wewe
hahahahahahahahah LadyAJ tehe tehe tehe![]()
![]()
![]()
pitia hapa nikupe lift
Ndo Degree zenyewe hiziU should be silent girl
eeh eeh kazi ipo!! Far I am not a girlanataka ushirikiano ajue Pm zinatumikaje, anafikaje, na mitongozo isimpitie mbali...
mimi nimemuelewa sana tu!
mitongozo? Kwani mpaka sasa bado kuna kutongozana? Mbona ilikwishaga zamani.LadyNdo Degree zenyewe hizi![]()
![]()
eeh eeh kazi ipo!! Far I am not a girl

Mgeni una gubu anyway karibu sana
gubu ndio nini tena wengine hatujakaa sana maskani sasa inakua ngumu kuelewa hiyo misemo.HahahahaKabla hatujakupa utaratibu hembu tuambie wewe ni Jogoo au Mtetea?
Teh teeeh uko nchi gani chalii angu![]()
gubu ndio nini tena wengine hatujakaa sana maskani sasa inakua ngumu kuelewa hiyo misemo.
hahala muhimu tu ujue members wote humu wana degree, wanaishi Dar na wana magari!!
Una uhakika?Hii ni mojawapo ya kiki NIMEMSHITUKIA
Tanzania.Teh teeeh uko nchi gani chalii angu
Unapenda sana pesa kijana? Unataka bei gani?kwendaaaaaaa yaani umejiunga jumatatu au sijui umekuja na ka id kako kpya unataka ushirikiano lipia
Sijawahi kushindwa. Thanks kwaushirikiano wako mkuutecno hailali kivipi na aliyekuambia hailali ni nani
Karibu sana usije ukalala
anataka ushirikiano ajue Pm zinatumikaje, anafikaje, na mitongozo isimpitie mbali...
mimi nimemuelewa sana tu!

Una Mke Lakini Mgeni???Wakuu![]()
tangu juzi nimeomba ushirikiano lakini sijaona yeyote alierespond au sababu Mimi mgeni humu? Acheni hizo mambo wazee.

Hahahaha mbavu zanguHujaeleza ushirikiano gn unao utaka...labda ueleweke...labda unataka KUMBAKA mtu...au KWENDA KIBITI wanapouliwa MAKADA wa chama....wewe jieleze unataka nn kwnza.ili upewe ushirikiano