Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
ngoja nipite hivi nisije nikapigwa na hilo bomu kwenye picha
Huyo aliyepost huo ujinga inabidi atafutwe popote.
...Keshalishwa matango pori yenye sumu huyo, hapo anachokiona ni akhera tu pamoja na yale makitu
Hawa ndio first suspect wa RufijiHuyo aliyepost huo ujinga inabidi atafutwe popote.
Huko tuendako huko!
Brain washedDaaaah,,,,,hawa watu.sijui wanaroho ya aina gani halafu sijui tutawatofautishaje na ugaidi japo sio wote