kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,115
Kuna jamaa alivamia chakula, kapiga tonge la kwanza watu wakamwalia, kapiga la pili watu wakaguna mmmmhh..!
Akapiga tonge la tatu mshikaji mmoja jemedali akamkung'utisha mkono kwenye sahani la ubwabwa, kisha akaulamba ule mkono wa jamaa mpaka ukawa mweupe peee hata harafu ya mchuzi ukawa hauna., kisha ule mkono wa jamaa akausugua chini sana ukajaa mchanga kisha akamwambia kama wewe mwanaume kanawe uje tena uone..!
Wewe una unamkumbuka jamaa gani mwenye roho mbaya uliepata kumshuhudia?