Huyo rafiki yako akili hana.Bora uyo kamjibu ivyo tulipishana na rangee bhana tuko na IST yetu mai friend kamtania bwana ake wanaolia Kwa ilo gari Wana raha jmn sijui lini na mm ntafika uko. A minute tukashushwa pale mataa ya mwenge wakati ya foleni ๐น๐น๐ token Kwa gari yangu msinichafulie usafiri from that day jaman mm na lift no kwakweli ๐๐พ
Asante niliona kbs apa rafiki nimefeli๐Huyo rafiki yako akili hana.
Unapobeza kitu cha mtu, jipimie kwanza kama wewe unaweza kukimiliki.