Kuna watu wakiona hii ya Kilimanjaro roho huwauma ila itabidi wazoee tu

TOHATO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,170
3,775
Screenshot_20200109-173746~2.png

Kunakoitwa kaskazini ndo elimu ilipo hata maendeleo pia,japo yote ni Tanzania basi ni vema wengine wakajifunze kwa kule kuliko inuka..

Kwa idadi hiyo ya shule kikawaida ingetakiwa ndo mikoa ya mwisho ila ni tofauti kidogo kwani huko wazazi na wanafunzi wenyewe wanajua umuhimu wa elimu

Povu ruksa.Ila iwe ndani ya sheria za JF
 
Attachments

  • Screenshot_20200109-173746~2.png
    Screenshot_20200109-173746~2.png
    9.8 KB · Views: 1
TOHATO,
Unajiskiaje kuona uzi umewekwa tangu saa kumi jioni ila mpaka saivi inaelekea saa tatu usiku una mchangiaji mmija tu ambaye ni mimi?

Upuuzi tu
 
Unajiskiaje kuona uzi umewekwa tangu saa kumi jioni ila mpaka saivi inaelekea saa tatu usiku una mchangiaji mmija tu ambaye ni mimi?

Upuuzi tu

Alafu mchangiaji mwenyewe naona kuna shida mahali ,badala ya kuandika MOJA anaandika MMIJA.

Muhimu povu ruksa... ona umejisahau limetoka vibaya
 
Hauna akili
Huku JF kila mtu anaujiko wa kujiona msomi na mwenye akili sana.
Hongera ila ndo ilivyo mnabidi mzoee tuu kama umetokea sehem elimu ni shida vumilia
 
Kunakoitwa kaskaziniView attachment 1317340 ndo elimu ilipo hata maendeleo pia,japo yote ni Tanzania basi ni vema wengine wakajifunze kwa kule kuliko inuka..

Kwa idadi hiyo ya shule kikawaida ingetakiwa ndo mikoa ya mwisho ila ni tofauti kidogo kwani huko wazazi na wanafunzi wenyewe wanajua umuhimu wa elimu

Povu ruksa.Ila iwe ndani ya sheria za JF
Hivi si mnajua kabisa nyuzi za namna hii zinaleta mtafaruku gani jf... Au unafurahia tu watu wanavyokwaruzana... Kukaa home kama umemaliza form four sio kukua tayari..
 
View attachment 1317340
Kunakoitwa kaskazini ndo elimu ilipo hata maendeleo pia,japo yote ni Tanzania basi ni vema wengine wakajifunze kwa kule kuliko inuka..

Kwa idadi hiyo ya shule kikawaida ingetakiwa ndo mikoa ya mwisho ila ni tofauti kidogo kwani huko wazazi na wanafunzi wenyewe wanajua umuhimu wa elimu

Povu ruksa.Ila iwe ndani ya sheria za JF
Jaman jaman Ndalichako atatumbuliwa yan nanii haipo kwenye list?
 
Back
Top Bottom