NGONYANI TAMBUA TU KWAMBA WAKATI WA KULEA MAOVU UMEKWISHA. SASA NI UTEKELEZAJI WA SHERIA NA KUPIGA KAZI TU. WEWE PIGA SIASA KUWATETEA WAVAMIZI WA MAENEO YA WAZI NA MABONDE LAKINI MUDA HUO HAKUNA TENA. ANAYOFANYA RAIS WETU MPENDWA MH JPM LAZIMA TUYAUNGE MKONO NDIO MAANA HATA WENYE AKILI KAMA BABU YAKO MTEI WANAMKUBALI. HUYO ULIYEMTAKA TUMEMKATAA ASUBIRI 2025!
unajua kuna watu hawaelewi,..wewe ni mzima kweli???????
hivi ni kazi gani ambayo inafanywa had uandike upuuzi wako,...
fikili kwa mapana mfano,..mambo aliyofanya rais wako jpm kurudisha wezi wa escrow ni sahihi,..mawaziri mzigo kuwabeba ni sahihi,..sefue alibariki escrow akasema ni hela za kawaida had sahivi ndo katibu mkuu kiongoz,.
unawezaje kufanya kazi na cabbinet fisadi na mbovuu..,.,.unahisi ni sahihi kwa akili ndogo2.,,
jpm haezi kuleta mabadiliko nchi hiii,..
usafiwa dar ni wa kufanyika cku1???waskat kuna wakurugenz wa usafi wa kila jiji nchini,..
watu wapo officin wanakula kodi na cake ya tz,...