Kuna watu bado wanaamini kuna mabadiliko chini ya CCM?

Kuna watu bado wanaamini kuna mabadiliko chini ya CCM?

Kuendelea kusubir mabadiliko ndani ya ccm ni ujinga ulio kubuhu, Watanganyika kweli tulilogwa tukiwa matumboni mwa mama zetu
 
Mmelogwa mnaoamini kuwa mabadiliko yataletwa na waliokataliwa na CCM kama wanaoamini kuwa maendeleo ya Mwafrika yataletwa kwa kusaidiwa na wazungu. Tunaoamini katika haki hatulogeki,tunaamini kuwa tuliumbwa kuepuka ouvu bila kujali uovu huo upon CCM,CDM,CUF na tunaamini kuwa tuna uwezo mkubwa sawasawa na ngozi nyeupe. Tujadili namna ya kuondoa uovu bila kuutetea.
 
lakini inapaswa wasaidiwe japo ndo wakati wao wa kuisoma namba.

Serikali ya tanzania inaongozwa na 2atu wasio na fikra binafsi, waoga kuwa na mawazo mbadala, wao ni kukubali bila kupima jambo na athari zake.

Wao kama serikali walifanya uzembe wa hali ya juu, hawakusimamia maamuzi ama sheria walizoweka, wakaacha wanachi wakajenga hovyo maeneo yasiyokubalika.

Kwa hiyo, serikali wana makosa na hao wananchi waliojenga hayo maeneo wana mako, hivyo ni jukumu la serikali kuwasaidia, wawape njia mbadala kwamba baada ya kubomolewa waende maeneo yaliyotengwa, si lazima serikali ilipe pesa, japo wangewakabidhi maeneo mengine ili waathirika wawe na pa kuanzia.

Serikali hii haina mipango wala mikakati, haisaidii wananchi.

Ova.
 
bado wapo, ila naona wanafumbuliwa macho kadri siku zinavyoenda
 
Ukiwaona watu wa hivyo ujue ni wagonjwa na ugonjwa wao haujulikani...!!!
 
CHADEMA HATA VIONGOZI HAWAJAANDAA WANAOKOTEZA CCM TENA MAKAPI NDIO TUWAPE NCHI. THUBUTUUUUUU
 
Mabadiliko ya kweli yatapatikana ndani ya CCM, na wengi wanaomini hivyo wanavyo vigezo vyao. Kabla nchi haijaingia kwenye pilika za uchaguzi, wananchi walipata fursa ya kuwatazama wagombea wote na wakajiridhisha kuwa yule wa CCM halingani na wote waliobakia, achana na habari za tume huru ya uchaguzi, kabla haijaundwa hiyo tume ni lazima maisha yaendelee. Mgombea wa UKAWA kashindwa kwenda sambamba na mtangazaji wa BBC tena interview yenyewe sio ya viwango vya kimataifa leo hii uje umpe nchi yenye watu milioni karibu 50!, wenye matarajio mengi tu. Wanaoamini kuwa CCM ina kila sababu ya kuongoza nchi hii wanavyo vigezo vingi, mleta uzi fanya tafiti ya kuwauliza kwa wingi wao, usiishie kupata mrejesho wa JF peke yake, nenda nchi nzima na utapata majibu sahihi ya dukuduku zako zote juu ya uwezo wa CCM.
 
Wakati mnapanda malori na kuvalishwa mifulana ya kijani mlidhani mlidhani nyumbu anaweza geuka swala
 
Mabadiliko ya kweli yatapatikana ndani ya CCM, na wengi wanaomini hivyo wanavyo vigezo vyao. Kabla nchi haijaingia kwenye pilika za uchaguzi, wananchi walipata fursa ya kuwatazama wagombea wote na wakajiridhisha kuwa yule wa CCM halingani na wote waliobakia, achana na habari za tume huru ya uchaguzi, kabla haijaundwa hiyo tume ni lazima maisha yaendelee. Mgombea wa UKAWA kashindwa kwenda sambamba na mtangazaji wa BBC tena interview yenyewe sio ya viwango vya kimataifa leo hii uje umpe nchi yenye watu milioni karibu 50!, wenye matarajio mengi tu. Wanaoamini kuwa CCM ina kila sababu ya kuongoza nchi hii wanavyo vigezo vingi, mleta uzi fanya tafiti ya kuwauliza kwa wingi wao, usiishie kupata mrejesho wa JF peke yake, nenda nchi nzima na utapata majibu sahihi ya dukuduku zako zote juu ya uwezo wa CCM.
ccm imeshinda pale penye wajinga wengi tena huko ilishinda kwa kuiba kura period....watu wenye akili hawawezi kuchagua ccm wala nn.........

utafiti gani unaosemea??? rudisha habar ya uchaguz leo uone ccm km itapumua
 
Watu wenye akili ni wengi na pengine wamezipata akili kabla hata wewe hujazaliwa, uwezo wao wa kuyachanganua mambo ni mkubwa kuliko wewe. UKAWA tengenezeni mfumo wa kuandaa viongozi wengi vijana, mkiishie kufanya hizi siasa za kusubiri gamba lipigwe chini CCM ndio nyingi mpate ahueni, daima itaendelea kula kwenu.
 
MY FOOOTS
 
Mnaamini mabadiriko ya kweli hayatatoka ndani ya CCM lakini mioyo na sura zenu zinaamini kiongozi wa mabadiriko ya kweli ni lazima atoke CCM ndio maana mliwaamini Edo na Mr....kuongoza safari ya mabadiriko. Wote nyinyi ni walewale tu, ni CCM bila kujitambua. Na ndio nyinyi mliosema JPM anatekeleza ilani ya UKAWA. Mkatembea vifua mbele kwamba JPM sio CCM ilihali ilani ya CCM hamuijui.
 
kuna watu wanaamini mabadiliko ya kuzungusha mkono ya CDM yaletwe na lowassa, sumaye, kingung`e, rostam azziz ...... ??? only nyumbu ndio wanaamini hao jamaa wangeleta mabadiliko...

sasa kazi tu!!
 
Pole ndgu bt wanasema akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Magufuli Nguvu ya Soda.jpg
Hata mimi najua mabadiliko yatapatikana ndani ya ccm hilo kaa ukijua.

Ni miaka mingapi CCM imekuwa madarakani na imeshindwa.
 
Last edited:
Back
Top Bottom