Kuna wanawake wengine ni pasua kichwa

Kuna wanawake wengine ni pasua kichwa

ulitakaje?amlipe mshahara?
hahahahaahhaha!! umenichekesha sana mkuu, unajua mara nyingi huwa inaonekana kumgegeda binti bure bure ni kama unfair, thats how our society thinks.
sasa kwa mfano in this scenario, hata yeye kuja moshi na kumgegeda mwezi mzima it was her idea ambayo kiukweli niliipokea kwa mikono miwili na kwa furaha. And, according to her alikiri kuwa she enjoyed the ride japokuwa kwangu mimi ulikuwa ni mwezi wa stress sana!
 
mwanamme kupigana na k mi sawa na mwanadamu kupigana na kaburi.

Si ni kishimo tu, nakuacha u pump kama bomba la mkono hadi ujute.

Na ukute vibao vyenyewe vya sekunde hivi?Utajishangaa ufundishi kufundisha kilichofundishwa.

Hiyo 1/2wks nikiipata nakamua hadi unaipatapata vizuri yaani ukienda 2 days inanikumbuka tena na unakuwa unataka uilete papuchi tena. Msichana akiwa anajidai anakupa kwa kuvizia vizia au hadi umlazimishe ndo ailete dawa yake ni hiyo tu.
 
mwanamme kupigana na k mi sawa na mwanadamu kupigana na kaburi.

Si ni kishimo tu, nakuacha u pump kama bomba la mkono hadi ujute.

Na ukute vibao vyenyewe vya sekunde hivi?Utajishangaa ufundishi kufundisha kilichofundishwa.

Wewe unapewa rungu hadi unakimbia ukifika kwenu siku 2, kishimo kinaugulia michubiko, ukimaliza wiki unataka tena maana utakavyokuwa umekojoleshwa.
 
michubuko na hilo neno ka mwisho haviendagi pamoja, ni kama miti na wajenzi.

Ukiona mtu kachubuka tu, jua ulikuwa ubakaji mamboleo.

Think buddy Think
Wewe unapewa rungu hadi unakimbia ukifika kwenu siku 2, kishimo kinaugulia michubiko, ukimaliza wiki unataka tena maana utakavyokuwa umekojoleshwa.
 
michubuko na hilo neno ka mwisho haviendagi pamoja, ni kama miti na wajenzi.

Ukiona mtu kachubuka tu, jua ulikuwa ubakaji mamboleo.

Think buddy Think

Sasa wewe ukikutana na hogo kuhubuka lazima hata kama kautamu utakapata kauchungu ni lazima. Unaweza ukamshangaa binti anaingiziwa mpini analia huku akitetemeka.
 
Hata kama ni hogo, mwanamke akishachubuka hamna la maana pale.

Aanenda kujiuguza tu.

Sasa wewe ukikutana na hogo kuhubuka lazima hata kama kautamu utakapata kauchungu ni lazima. Unaweza ukamshangaa binti anaingiziwa mpini analia huku akitetemeka.
 
Siku nikiweka throwbacks zangu, mods watanipiga ban
 
leo nimekaa nikawa nakumbuka maisha yangu ya kimapenzi kabla sijaoa.
Kuna kisa cha binti mmoja ambae nilipata kuwa na relationship nae kipindi hicho nipo zangu chuo, medical school mwaka 2005.
Huyu binti yeye that time alikuwa anasoma Mtwara chuo cha utumishi wa uma kama sikosei alikuwa anasomea mambo ya records management, lakini alikuwa akiishi dar.
Basi bwana kuna kipindi akawa anasema kuwa watakuwa na field for like a month na kuwa anataka kuja kufanyia kule nilipo(ilikuwa ni mkoa tofauti na dar), basi nikaona yeeeessss!! k ya bure si ndo hii inajileta? kwani nna hasara gani bwana? nitapata k ya bure na huduma nyingine zote kama mume(kumbuka nilikuwa sijawahi kumtafuna yule binti,na hata sikujua tabia zake kiundani coz muda mwingi tulikuwa ni kuwasiliana kwa simu tuu coz tupo mikoa tofauti).
Basi kweli tukapanga mipango yule binti alimdanganya baba yake kuwa atafikia kwa rafiki yake anaekaa ule mkoa niliopo, na tukapanga mipango akampa dingi yake namba ya demu ambae ni my classmate na akajifanya kuwa ndo rafiki wa yule binti na kuwa atafikia kwao.
Basi bwana siku ya siku binti akapanda basi akafika, kidume nilikuwa na furaha mbaya, nikijisemea sasa hapa nina k ya bure mwezi mzima, maisha si ndo haya?
Aisee nilikuja kujutia sana uamuzi ule, yule binti alikuwa ni pasua kichwa mbaya yaani!! kuna siku moja alitaka kujiua kwa kumeza vidonge kisa eti nilirudi saa tano usiku, na si kwamba ilikuwa makusudi si unajua.mambo ya medical school? siku hiyo nilikuwa idara ya upasuaji so nikawa nimeingia kuassist operation mpaka mida hiyo....... narudi home nakuta mtu amevimba kuuliza vp sijibiwi, mara kafungua droo kachukua vidonge kama 30 anataka kubugia!!
kila nikirudi rum simu full kukaguliwa maswali 200 kidogo, kila txt iliyoingia na iliyojibiwa na simu zote zilizojibiwa na kupigwa anataka explanations! asbh labda nikwambia leo narudi saa 8 nikichelewa hata 10 minutes simu zinaanza kupigwa aisee, ukifika rum unakuta mtu kavimba!!
alirudia tabia yake ya kutaka kunywa vidonge mara mbili tena;
siku nyingine alifuta namba za wadada karibu wote in my phonebook!!
Alinipa stress sana yule binti nikasema mmh hapa nimeingia cha kike!
basi pamoja na kupata k ya bure ila nikawa mtu wa stress sana, ule mwezi ulikuwa mrefu kwangu ila hatimaye ukaisha, akarudi kwao nilifurahi sana that day. Nikawa nimefanya uamuzi in my head kuwa huyu binti thats the end of our relationshp but sikumwambia,ila alivyofika dar nikampotezea mazima yaani,nikawa sipigi simu wala kutuma txt, yaani mpaka anipigie yeye na smtymz hata akipiga sipokei. Basi kwa akili yake akajua nafanya vile coz nimeshamtafuna, alilalamika sana..... nikaendelea kumpotezea.
Siku moja akawa analalamika kwenye simu mpaka analia, nikaona nimpasulie ukweli kuwa bwana endelea na ishu zako mi na wewe tuishie hapa!!(but sikimwambia sababu hasa). Yule binti bwana akanywa sumu, bahati nzuri walimuwahisha hospitali akapona!!
Baada ya pale sist wake mmoja akani call akaniambia please jst be with her hata kiuongo uongo tuu moyo wake uridhike, atulie. Baada ya kunibembeleza sana nikasema, fine let me pretend nimerudiaana nae, bt akiwa vizuri tuu namtema.
Likawa kosa namba mbili tena, akawa ananisumbua sana nisipompigia au kumtext, mwishowe akanywa tena sumu(this time alikuwa amerudi chuoni mtwara), rafiki zake full kunipigia simu oohh kwa nini unamfanyia hivi rafiki yetu, anakupenda sana, blah blah blah....
Mwisho wa siku nikaona isiwe tabu, nikabadili namba, akaanza kumsumbua yule classmate wangu wa kike ambae tulimdanganya dingi yake kipindi kile kuwa amefikia kwake,.nikamwambia chonde chonde ndugu yangu usimpe huyo mwanamke namba yangu mpya!
Basi ndo ukawa mwisho wa usumbufu wa yule binti!
lakini,alinifundisha kitu kikubwa sana yule binti..... "si kila mwanamke anafaa kuwekwa ndani kama mke"

Kaka it seems like hukuwa unajua the most expensive sex is free sex! Ha haa haaa
 
Watoto wana hatari hawa! Unaenda kujiegesha kwa mtu mwezi mzima! Je ukifa usiku (i was an innocent kid hehehe).

afu sasa unamegwa mwezi mzima, unafua nguo na kupasi, unampikia na kumpakulia, ufanye na usafi? Hata mie ningejifyatulia risasi mkanda mzima. Naanzia miguuni.

yani mi naona hizo risasi angefyatuliwa huyo jamaa... huo ni udhalilishaji..
 
Back
Top Bottom