Kuna wanawake wengine ni pasua kichwa

Kuna wanawake wengine ni pasua kichwa

Watoto wana hatari hawa! Unaenda kujiegesha kwa mtu mwezi mzima! Je ukifa usiku (i was an innocent kid hehehe).

afu sasa unamegwa mwezi mzima, unafua nguo na kupasi, unampikia na kumpakulia, ufanye na usafi? Hata mie ningejifyatulia risasi mkanda mzima. Naanzia miguuni.
hahahahaha.....!! king'asti mambo ya ujana hayo.... we hujafanya hizo mambo?
ni mambo ya kula ujana, ila ndo ivo sometimes unakutana na pasua vichwa wanakupa stress mpaka unaona maisha ni magumu!!
 
Hoja ya kumjua/kuishi na mwanamke kabla ya ndoa ina kauzito kake.

Chukulia ndio umemuoa hujajua akili yake ikoje anafika tu hom anaanza hayo makitu na ndoa zetu sisi christians hadi kifo badala ya mwanamke kujiua ww mwanaume ndio unajiua kwa stress.
 
Hoja ya kumjua/kuishi na mwanamke kabla ya ndoa ina kauzito kake.

Chukulia ndio umemuoa hujajua akili yake ikoje anafika tu hom anaanza hayo makitu na ndoa zetu sisi christians hadi kifo badala ya mwanamke kujiua ww mwanaume ndio unajiua kwa stress.
yaani kama ndo ningemuoa yule mwanamke kichwa kichwa bila kujua tabia zake, haki ya Mungu ingekula kwangu mazima yaani!!
ungekuwa ni msiba mzito!
 
Yaani hapo ni sawa walidate miaka 3, ukichanganya na kupika na kupakua majanga.

Watoto wana hatari hawa! Unaenda kujiegesha kwa mtu mwezi mzima! Je ukifa usiku (i was an innocent kid hehehe).

afu sasa unamegwa mwezi mzima, unafua nguo na kupasi, unampikia na kumpakulia, ufanye na usafi? Hata mie ningejifyatulia risasi mkanda mzima. Naanzia miguuni.
 
Afu free P, sanasana Dr akijitahidi anamhonga panado na klorokwin za kujiangamizia.
hahahahaha! we kongosho wewe! si unajua kipindi hicho naishi kwa boom, na kwa jinsi lilivyo unreliable mara lichelewe.....!! kwa hiyo kuhonga ilikuwa ni kwa uangalifu!! labda zile za kubania nikimwachia hela ya chakula asubuhi akijibana ndo apige panga. Kwani kongosho, we hujawahi kupigwa free P?? be honest....!
 
Uuupsi one month unagegeda freee
Kweli wanawake akili zetu zinawaza vibaya

Hizo mbona nyingi sana,,wasichana wa siku hizi wanaona ndo fashion kwenda kwa mwanaume kukaa hata mwezi!!wakifunga vyuo mguu wa kwanza kwa mwanaume!!
 
sijawahi kuhongwa.

hahahahaha! we kongosho wewe! si unajua kipindi hicho naishi kwa boom, na kwa jinsi lilivyo unreliable mara lichelewe.....!! kwa hiyo kuhonga ilikuwa ni kwa uangalifu!! labda zile za kubania nikimwachia hela ya chakula asubuhi akijibana ndo apige panga. Kwani kongosho, we hujawahi kupigwa free P?? be honest....!
 
Watoto wana hatari hawa! Unaenda kujiegesha kwa mtu mwezi mzima! Je ukifa usiku (i was an innocent kid hehehe).

afu sasa unamegwa mwezi mzima, unafua nguo na kupasi, unampikia na kumpakulia, ufanye na usafi? Hata mie ningejifyatulia risasi mkanda mzima. Naanzia miguuni.

Kwi kwi kwi...naona huyu wangu nae soon atajifyatulia risasi mkanda mzima maana siku za kupotezewa naziona zileee kwenye kona
 
nimeipenda sana conclusion.. ''si kila mwanamke anafaa wekwa ndan''
 
Watu wabaya!!!
Eti free K,ndio umeilipia hivyo indirectly!!!
 
leo nimekaa nikawa nakumbuka maisha yangu ya kimapenzi kabla sijaoa.
Kuna kisa cha binti mmoja ambae nilipata kuwa na relationship nae kipindi hicho nipo zangu chuo, medical school mwaka 2005.
Huyu binti yeye that time alikuwa anasoma Mtwara chuo cha utumishi wa uma kama sikosei alikuwa anasomea mambo ya records management, lakini alikuwa akiishi dar.
Basi bwana kuna kipindi akawa anasema kuwa watakuwa na field for like a month na kuwa anataka kuja kufanyia kule nilipo(ilikuwa ni mkoa tofauti na dar), basi nikaona yeeeessss!! k ya bure si ndo hii inajileta? kwani nna hasara gani bwana? nitapata k ya bure na huduma nyingine zote kama mume(kumbuka nilikuwa sijawahi kumtafuna yule binti,na hata sikujua tabia zake kiundani coz muda mwingi tulikuwa ni kuwasiliana kwa simu tuu coz tupo mikoa tofauti).
Basi kweli tukapanga mipango yule binti alimdanganya baba yake kuwa atafikia kwa rafiki yake anaekaa ule mkoa niliopo, na tukapanga mipango akampa dingi yake namba ya demu ambae ni my classmate na akajifanya kuwa ndo rafiki wa yule binti na kuwa atafikia kwao.
Basi bwana siku ya siku binti akapanda basi akafika, kidume nilikuwa na furaha mbaya, nikijisemea sasa hapa nina k ya bure mwezi mzima, maisha si ndo haya?
Aisee nilikuja kujutia sana uamuzi ule, yule binti alikuwa ni pasua kichwa mbaya yaani!! kuna siku moja alitaka kujiua kwa kumeza vidonge kisa eti nilirudi saa tano usiku, na si kwamba ilikuwa makusudi si unajua.mambo ya medical school? siku hiyo nilikuwa idara ya upasuaji so nikawa nimeingia kuassist operation mpaka mida hiyo....... narudi home nakuta mtu amevimba kuuliza vp sijibiwi, mara kafungua droo kachukua vidonge kama 30 anataka kubugia!!
kila nikirudi rum simu full kukaguliwa maswali 200 kidogo, kila txt iliyoingia na iliyojibiwa na simu zote zilizojibiwa na kupigwa anataka explanations! asbh labda nikwambia leo narudi saa 8 nikichelewa hata 10 minutes simu zinaanza kupigwa aisee, ukifika rum unakuta mtu kavimba!!
alirudia tabia yake ya kutaka kunywa vidonge mara mbili tena;
siku nyingine alifuta namba za wadada karibu wote in my phonebook!!
Alinipa stress sana yule binti nikasema mmh hapa nimeingia cha kike!
basi pamoja na kupata k ya bure ila nikawa mtu wa stress sana, ule mwezi ulikuwa mrefu kwangu ila hatimaye ukaisha, akarudi kwao nilifurahi sana that day. Nikawa nimefanya uamuzi in my head kuwa huyu binti thats the end of our relationshp but sikumwambia,ila alivyofika dar nikampotezea mazima yaani,nikawa sipigi simu wala kutuma txt, yaani mpaka anipigie yeye na smtymz hata akipiga sipokei. Basi kwa akili yake akajua nafanya vile coz nimeshamtafuna, alilalamika sana..... nikaendelea kumpotezea.
Siku moja akawa analalamika kwenye simu mpaka analia, nikaona nimpasulie ukweli kuwa bwana endelea na ishu zako mi na wewe tuishie hapa!!(but sikimwambia sababu hasa). Yule binti bwana akanywa sumu, bahati nzuri walimuwahisha hospitali akapona!!
Baada ya pale sist wake mmoja akani call akaniambia please jst be with her hata kiuongo uongo tuu moyo wake uridhike, atulie. Baada ya kunibembeleza sana nikasema, fine let me pretend nimerudiaana nae, bt akiwa vizuri tuu namtema.
Likawa kosa namba mbili tena, akawa ananisumbua sana nisipompigia au kumtext, mwishowe akanywa tena sumu(this time alikuwa amerudi chuoni mtwara), rafiki zake full kunipigia simu oohh kwa nini unamfanyia hivi rafiki yetu, anakupenda sana, blah blah blah....
Mwisho wa siku nikaona isiwe tabu, nikabadili namba, akaanza kumsumbua yule classmate wangu wa kike ambae tulimdanganya dingi yake kipindi kile kuwa amefikia kwake,.nikamwambia chonde chonde ndugu yangu usimpe huyo mwanamke namba yangu mpya!
Basi ndo ukawa mwisho wa usumbufu wa yule binti!
lakini,alinifundisha kitu kikubwa sana yule binti..... "si kila mwanamke anafaa kuwekwa ndani kama mke"


Hayatuhusu. This is your private business.
 
He he he, ulimpa machejo gani? Mwezi mzima unatafunwa afu unaachwa?

Mtu ambaye hajatoa mahari dozi yake ni 1 kwa wiki 2, ikizidi saaaaaaaana 1 per wk.

Hiyo 1/2wks nikiipata nakamua hadi unaipatapata vizuri yaani ukienda 2 days inanikumbuka tena na unakuwa unataka uilete papuchi tena. Msichana akiwa anajidai anakupa kwa kuvizia vizia au hadi umlazimishe ndo ailete dawa yake ni hiyo tu.
 
Mkuu umeona eheeee! Hakuna vya bure duniani bana! Inawezekana bure ilikuwa kwenye fweza lakini si unaona umelipa stress! Take care!
 
Back
Top Bottom