T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,126
- 30,573
Hata siwezi kuchukia siku nikidanganywa mkuu....Ila usichukie siku na yeye akikudanganya
Haya maisha tu japo uongo haudumu ila naamini kuwa kuna uongo mwingine unafaida
Kuna demu nilimdanganyaga uongo fulani hivi uliotukuka akaamini kabisa na badae akajaga kugundua ukweli wake ila akachukulia poa tu sababu alikuwa kashachelewa tayari kuujua ukweli.