D
Deleted member 485868
Guest
Duh! Kuna watu wanajua kudanganya mweh
Ata mimi napenda mtu mkweli japo mimi siyo mkweli ata kidogoKati ya vitu ambavyo sivipendi kwenye masuala haya ya mahusiano ni "KUDANGANYA[UWONGO]" kwann usiwe mkweli tu tena ukiwa mkweli ni rahisi sana kumgundua mwenye mapenzi ya dhati na mwenye mapenzi ya kinafiki.
hakuna kitu kizuri kwenye mahusiano kama kuwa mkweli na muwazi kwani vitakuweka huru na kukufanya uishi kwa amani na furaha.
Yanaenda ni wewe tuPeople like to be lied a bit, rarely do they like to hear the truth. They might say they do, but they don't really mean it!
Maisha ya mahusiano bila uongo wa hapa na pale, hayaendi.
Ipo mkuuEti sabuni ya kuongeza hamu ya kuoga
Ukiwa mkweli utapata machoko tu ila wadada wa mjini kuwa muongo utawakunguta paka uchokeMkuu,, unadhani asingemdanganya huyo dem angemkubalia ? Isingekua hiyo mimba kwanza jamaa angeachwa
Bado hujanishawishi kuwa mkweli kwa wanawake
mimi nimekudanganya nini ??Mo ww una asili ya uongo tuu[emoji14][emoji14]
Hujan'danganya chochote,..mimi nimekudanganya nini ??
umejuaje kama mimi muongo sasa ?Hujan'danganya chochote,..
[emoji4]si umesema hapo kuwa uongo ndio unakufanya upate vinono..umejuaje kama mimi muongo sasa ?
duu!!.Ata mimi napenda mtu mkweli japo mimi siyo mkweli ata kidogo
umeninukuu vibaya[emoji4]si umesema hapo kuwa uongo ndio unakufanya upate vinono..
[emoji1][emoji1][emoji1]umeninukuu vibaya
baadhi ya watu ukinitoa mimi ndio wanasaidiwa na uongo
Upo vizuri sanaMhmm, sijawahi kutongoza lakini ninajiamini, kuongea uongo nikukosa kujiamini!