Kuna wanawake wana moyo wa kuvumilia...

Kuna wanawake wana moyo wa kuvumilia...

Huyo mkeo ndio uliyempata kwenye sinema gani vile???
Au ulimpata nditoni?
Jipange .. Ni demu wangu Wa kwanza 2002 ... Tunamliza 4 , 2003 alifeli ... Kwa kuwa tulikuwa family friends alienda Ilambo mi nikaemda ualimu nachingwea ... Nkaacha nkaenda Coastal high ..tanga ... Lakini tukakutana tena 2007 ... Na ndio mpaka Leo. Ndio mke wangu Wa ndoa ya Kikatoliki ...
 
Usimuite Mama mjengo demu, mpe hishma Yake
 
Mwanamke mwenzangu anamoyo wa kipekee..usije muacha hata Kama akiamua kubeba mimba ya kidume mwingine huko mbeleni.
 
Nikuhongereshe kamanda. Umepata mke mwema sana. Ingekuwa hawa ninaowafahamu, saa hii mtaa mzima ungekuwa umejaa hapo nyumbani kwako. Mpende sana huyo mke aisee na jitahidi sana uache michepuko sasa. Umepewa nafasi nyingine. Rudi kwa Mungu sasa ili ndoa yako iendelee kubarikiwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Niemeapa ... Hata sasa nipo kwenye Ugimbi ... Sitomkosea tenaaaa...uzuri ananinjua. .. Nje ndani....
 
Hapa ingelikuwa mwanamke kapata mimba nje ungesikia mke wangu malay....a namrudisha kwao. Lakini chalii kaleta mtoto nje ya ndoa anasema mke mwema, nasubiri mrejesho wa hio mimba ya wife nae.[emoji1787][emoji1787]

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Some things are meant to be done by men only
 
Hapa ingelikuwa mwanamke kapata mimba nje ungesikia mke wangu malay....a namrudisha kwao. Lakini chalii kaleta mtoto nje ya ndoa anasema mke mwema, nasubiri mrejesho wa hio mimba ya wife nae.🤣🤣

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Kiukweli kingenuka .... Lakini baada ya ndoa2015 ...alizaaaa bada ya hapo ....tuombene
 
Mwanamke mwenzangu anamoyo wa kipekee..usije muacha hata Kama akiamua kubeba mimba ya kidume mwingine huko mbeleni.
Hilo hawezi ... Na hata ikitoea .mimba ntailea . kwa njnavyomfahamu ..... LA kwanza haliwezekani kwa sababu tunazaaa kwa mpango
 
Kwa sisi sisi wanawake Hawa Hawa Tena wakibongo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Time will tell.
Finally...hahahahaa!karucee uliotea!alikua anaomba apata kazi kapata Sasa,rangi zote anaona huyu mtoto wa nzi na Uzi wa kumuachia mke Mali na hati za viwanja
 
Hapa ingelikuwa mwanamke kapata mimba nje ungesikia mke wangu malay....a namrudisha kwao. Lakini chalii kaleta mtoto nje ya ndoa anasema mke mwema, nasubiri mrejesho wa hio mimba ya wife nae.🤣🤣

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Kwan wewe ulishawahi kuona mke aliyeolewa na wanaume wawili, mme hata 10 inakubalika na jamii
 
Sio kweli. Nilikuwa uingereza na ktk matembezi huko east anglia nikakuta kanisa la hija la kianglikana. Waamini wanatembea kwa magoti maili 8 kabla ya kuingia kanisani hapo kuhiji. Kuna mpaka watawa yaani masista. Ndipo niliponunua ROSARI yangu huko. Imepotea kwa sasa maana ilikuwa 1993. Kanisa hili lina kila kitu cha kikatoliki nadhani ni monastori.
 
Usiombe akaja kukuchoka HAKUNA RANGI HUTAACHA KUONA.
 
Hapa ingelikuwa mwanamke kapata mimba nje ungesikia mke wangu malay....a namrudisha kwao. Lakini chalii kaleta mtoto nje ya ndoa anasema mke mwema, nasubiri mrejesho wa hio mimba ya wife nae.🤣🤣

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Jamii imetufunza hivyo.. !!
 
Siku zote najinasibu ni mtu wa gambe, yes napiga tungi kwelikweli na hapa napost hii. Nimerudi nimemkuta mke wangu Muanglican anasali rosali. Nimefunguliwa na Dada Wa kazi, kanipakulia mke yupo tu chumbani.

Naingia chumbani ananiambia “NAJUA UNA MTOTO NJE YA NDOA YETU, TUMEKAAA MIAKA MINNE HATUJAPATA MTOTO. Nimekusamehe” Nilikuwa namkuta hivyo tu kumbe ana maombi yake. Leo kaniletea vipimo ana mimba na anamjua mtoto wangu wa nje na ameongea na yule mama akijifanya dada yangu na kamkatia bima kupitia mshahara wake

Ananipendaje Huyu. Yote haya ananiambia usiku huuu nimerudi mtingo “Usipolewa Mme wangu ni mstaarabu Sana ila Ukilewa tu hauchagui. Nimekukuta na watoto wawili (niliwapata ujanani) umeniongezea mwingine. Simwambii mama nitamlea mama Wangu”

Wa nje ndio mdogo, ndio amezaliwa na yeye ndio mjamzito.

Yaani pombe imekata paaaaaa.
Mkuu shemu alijaliwa mtoto bila shaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom