6th senseMaisha yako hivi, awe mwanamke au mwanaume, mmoja ni rafiki mwingine ni adui, mmoja ni anguko la maisha yako mwingine ni inuko la maisha yako. Kujua nani ni nani katika maisha yako unatakiwa ujue kunusa, kuona, kuhisi na kuona hatari kabla hatari haijakufika...
Maisha yako hivi, awe mwanamke au mwanaume, mmoja ni rafiki mwingine ni adui, mmoja ni anguko la maisha yako mwingine ni inuko la maisha yako. Kujua nani ni nani katika maisha yako unatakiwa ujue kunusa, kuona, kuhisi na kuona hatari kabla hatari haijakufika...
ngoja wajuzi waje. Nick ameteuliwa kutokana na uchawa wake. Injinia alichaguliwa kutokana na degree yake.Habarini ndugu zangu.
Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali..
Pia nna mwingine ye baada ya kuoa tu Basi ile mifereji ya pesa yote ikaanza kuziba..yani Kama vile mwanamke kachukua kokoto na mchanga na maji akapiga ukingo kama ule wa belini..
Ila naambiwa pia kuna wanawake ambao huja na baraka zao,. mfano kaka yetu niki wa pili,.kaoa hajamaliza hata miaka tayari kateuliwa ukuu wa wilaya,.na sio yeye tu kuna mtu nnae mfahamu kabisaaa,. hapa kitaa alisomea injia ya umeme,..alioa kabla hata ya kupata ajira..mpaka nikawa namuuliza aisee unajiamini Nini kuoa na wakati kazi huna...aisee jamaa akaandika maombi ya kazi mahali flani wakaitwa watu mia nane ,.wakachujwa wakabaki mia then ishirini,.baadae watano tu ndo waliofanikiwa kuajiriwa..na taasisi hiyo ya serikali...
Je hizi stori ni za kweli ndugu zangu..Mana naona kama mke nnaeishi nae ndo chanzo cha Mimi kutokufanikiwa,.isije ikawa na yeye ana mikosi ndo Mana mishe hazitiki..na ndoto Kila siku zinayoyoma tu...
Usiku mwema ndugu zangu....
Pia soma>>> Kwanini watu wengine huwa na mikosi katika mahusiano?
Kuna ukweli hapa mkuu, nimewahi kulinganisha uhusiano wangu na baadhi ya wanawake Kuna wengine nilikutana na baraka za kutosha na wengine mikosi tu yaaniHabarini ndugu zangu.
Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali..
Pia nna mwingine ye baada ya kuoa tu Basi ile mifereji ya pesa yote ikaanza kuziba..yani Kama vile mwanamke kachukua kokoto na mchanga na maji akapiga ukingo kama ule wa belini..
Ila naambiwa pia kuna wanawake ambao huja na baraka zao,. mfano kaka yetu niki wa pili,.kaoa hajamaliza hata miaka tayari kateuliwa ukuu wa wilaya,.na sio yeye tu kuna mtu nnae mfahamu kabisaaa,. hapa kitaa alisomea injia ya umeme,..alioa kabla hata ya kupata ajira..mpaka nikawa namuuliza aisee unajiamini Nini kuoa na wakati kazi huna...aisee jamaa akaandika maombi ya kazi mahali flani wakaitwa watu mia nane ,.wakachujwa wakabaki mia then ishirini,.baadae watano tu ndo waliofanikiwa kuajiriwa..na taasisi hiyo ya serikali...
Je hizi stori ni za kweli ndugu zangu..Mana naona kama mke nnaeishi nae ndo chanzo cha Mimi kutokufanikiwa,.isije ikawa na yeye ana mikosi ndo Mana mishe hazitiki..na ndoto Kila siku zinayoyoma tu...
Usiku mwema ndugu zangu....
Pia soma>>> Kwanini watu wengine huwa na mikosi katika mahusiano?
Unashangaa au, ebu jaribu kuoa mdangaji, demu yeyote wa bongo movie, supa staa uchwara wa kibongo uone utakavyojuta kuzaliwa.Habarini ndugu zangu.