Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,548
- 2,571
Huo ndio uanaumeNilijibiwa shombo na demu mmoja tukiwa lodge, ilikua kama saa mbili usiku.
Muda ule ule nilibeba begi langu nikaondoka kwenda kutafuta lodge sehemu nyingine nikamuacha pale.
Ni takriban 6months tangu lile tukio litokee hadi leo ananibembeleza turudiane sijakubali na sitakubali maana naweza kuishia jela siku moja.
Mungu aliniepusha siku ile ningefanya tukio la kusikitisha