Msaidizi Mkuu
Senior Member
- Aug 19, 2020
- 195
- 154
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ***** daah kweli hatari hatariNiliwah jikok kununua keki ya bdai ya manz mmoja kipind hiko akaipokea ila kumbe hakuipenda ilipita kama week hiv nikashika simu yake wanagrup la watu 6 wanajiita sijui beauty nn huko basi kuangalia nikakuta wamediskasi ile keki wamenipiga majungu balaaa mbaya zaid yeye ndo alikuwa mchochez mkuu mbaya zaid hela niliipata kwa tabu ili nimridhishe mwisho wasiku akasema nimeleta keki ndogo kama tako la mtto nilimchangamsha ile siku nadhan hataisahau maishan kwake