Kuna wanawake wana dharau acheni kabisa

Kuna wanawake wana dharau acheni kabisa

ulichokiongea ndo nilitaka kuandika, nliwai kusema sitakuja kupiga demu ata mke ila jana kidogo nivunje amri, but sikuonesha kukasrika, nlifata chips yai, na mishikaki tena nkaja nacheka tu ila hawa watu wanakera, nilisubili asbui ifke ili nitafte namna ya kumwambia aondoke
Mnawaokotaga wapi madem wa hivyo?
Ndio wale kila kitu cha bandia nini mwilini mwake.
Makucha marefu,makope ya bandia etc..
 
Mkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!

Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
 
Mi Demu wangu"" hapendi kula hatar!!!.....lakin ye unilazimisha mi nile...tena kwenye suala la kupika hajamno'''

Hla Kinachoniboa hapendi kula ( wala hana diet, !!) Afu kipotabo sanaaaaa
 
Nilijibiwa shombo na demu mmoja tukiwa lodge, ilikua kama saa mbili usiku.
Muda ule ule nilibeba begi langu nikaondoka kwenda kutafuta lodge sehemu nyingine nikamuacha pale.

Ni takriban 6months tangu lile tukio litokee hadi leo ananibembeleza turudiane sijakubali na sitakubali maana naweza kuishia jela siku moja.
Mungu aliniepusha siku ile ningefanya tukio la kusikitisha
 
Yaani mtu, anadai hawezi kutumia jiko kupika wali, eti ilo jiko haliwezi, jiko mmenunua zaidi ya laki 7, linaoza, unamwachia, elfu 10K, ya kula ukitoka kuangaika jioni unamwambia unakula nini, kununue ata chips, anasema amechoka hatoki nje.

Basi unamwambia kama umebakiza ata elfu 1, leta nimpgie simu boda akuletee chakula, mi ntakununulia alafu nauli mpe boda ata buku, anakwambia hana ata mia, na apo ulimwachia elfu 10, unakuta wewe unakula yule mdudu na yeye hali, basi unanunua mdudu wako unampa elfu 3, kanunue viazi anakwambia mimi nje sitoki nmechoka, na apo kashinda amekaa tu.

Basi unaona jau kula huku mwenzio kakakaa tu, unaamua kwenda kununua, asbui nmemwambia kuna mdogo wangu anakuja kulala, na nmechukia bora asirudi kabisa.

Eti demu ambae hana elimu, ana heshima weeeee hujawakuta.
Sasa apa nani mjinga kati ya wewe na uyu mdada . Ivi izi akili had Leo kuna wanaume wanaendeshwa ivo. Ila mwanamke ana ku treat kutokana na ulivyo
 
labda humchochei vizuri so anakua na mihasira nawe anaamua kukukomoa kwa njia hiyo, tafakari kisha chukua hatua.
 
Mkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!

Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
Duh nimecheka kiboya alafu nipo kwa daladala
 
Nilijibiwa shombo na demu mmoja tukiwa lodge, ilikua kama saa mbili usiku.
Muda ule ule nilibeba begi langu nikaondoka kwenda kutafuta lodge sehemu nyingine nikamuacha pale.

Ni takriban 6months tangu lile tukio litokee hadi leo ananibembeleza turudiane sijakubali na sitakubali maana naweza kuishia jela siku moja.
Mungu aliniepusha siku ile ningefanya tukio la kusikitisha
Duh yani hawa watu sometimes ni visirani sana
 
Mkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!

Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
hahahaha "ulipo tupo" "usiyempenda kaja" hahaa skupingi mkuu
 
mkuu,kemea huo upuuzi wa kuambia na mwanamke “nimechoka”. kuna mmoja nilikua nalazimika kila siku kwa miezi 6 mfululizo kumfatia chakula eti kila siku usiku amechoka kwenda kununua chakula hivo basi anasema kama sifuatii basi atalala njaa.siku moja nikamwambia kama huwezi kufata basi lala njaa mbona aliamka tu akafata
 
Duh yani hawa watu sometimes ni visirani sana
Alaf suala lenyewe mpaka ananitolea shombo lilikua dogo sana.
Kuna jamaa yangu alikuja akaniita nje, nikamwambia twende umsalimie shemeji yako akakataa akasema amechoka, nikatoka kumcheki jamaa tumaamua kwenda kunywa juice sehemu, nimerud baada ya dkk 40 hivi.
Imefika saa moja na nusu nikamwambia ishu ya kula akasema hatoki, nikamwambia mi nimeshiba nilikunywa juice, we sinilikwambia tutoke ukagoma aisee acha atokwe na maneno machafu, we nani? Unataka kunipelekesha unanichukuliaje, unadhani wewe una hiyo power? Unajiona kwa mfano? Unataka ukisema kitu lazima kitendeke kwani we Mungu?

Aiseeee nikasikia mwili unatetemeka ghaflaaaa
Sikumjibu nikakaa kimya namuomba Mungu anipe uvumilivu, yule mwanamke aliendelea kubwabwaja maneno ya kejeli na hovyo, nilichofanya niliinuka nikapanga nguo zangu nilizokuwa nimesafiri nazo kwenye kibegi changu, nikatoa hela kama 30K nikampa nikamwambia nauli yako hii, kukikucha ondoka uende kwenu.

Muda ule ule nikasema kutafuta lodge nyingine nikalala peke yangu.

Alaf demu mwenyewe hana hata dira ya maisha kamaliza o level sasa sura yake na shape ndo vinampa kiburi. Anaendelea kunibembeleza mpaka leo
 
Yaani mtu, anadai hawezi kutumia jiko kupika wali, eti ilo jiko haliwezi, jiko mmenunua zaidi ya laki 7, linaoza, unamwachia, elfu 10K, ya kula ukitoka kuangaika jioni unamwambia unakula nini, kununue ata chips, anasema amechoka hatoki nje.

Basi unamwambia kama umebakiza ata elfu 1, leta nimpgie simu boda akuletee chakula, mi ntakununulia alafu nauli mpe boda ata buku, anakwambia hana ata mia, na apo ulimwachia elfu 10, unakuta wewe unakula yule mdudu na yeye hali, basi unanunua mdudu wako unampa elfu 3, kanunue viazi anakwambia mimi nje sitoki nmechoka, na apo kashinda amekaa tu.

Basi unaona jau kula huku mwenzio kakakaa tu, unaamua kwenda kununua, asbui nmemwambia kuna mdogo wangu anakuja kulala, na nmechukia bora asirudi kabisa.

Eti demu ambae hana elimu, ana heshima weeeee hujawakuta.
Niliwah jikok kununua keki ya bdai ya manz mmoja kipind hiko akaipokea ila kumbe hakuipenda ilipita kama week hiv nikashika simu yake wanagrup la watu 6 wanajiita sijui beauty nn huko basi kuangalia nikakuta wamediskasi ile keki wamenipiga majungu balaaa mbaya zaid yeye ndo alikuwa mchochez mkuu mbaya zaid hela niliipata kwa tabu ili nimridhishe mwisho wasiku akasema nimeleta keki ndogo kama tako la mtto nilimchangamsha ile siku nadhan hataisahau maishan kwake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom