Kuna wanawake wana dharau acheni kabisa

Nasikitika kusema, huyu mwanamke amekuona wewe ni dhaifu mno.
Ila kupanga ni kuchagua
 
Mkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!

Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
Wewe utakuwa mixer ya Mkurya na Mzaramu
 
Ulimpa hiyo 30k ya Nini?? Kwani wewe MUNGU??
Nilikua na sababu za msingi kumpa hela.

Nilikua natoka Moro kwenda Mwanza, sasa yeye kwao ni Singida, kwahyo wakati napita ikabidi nimpitie twende zetu akanipe kampani maana nilikua naenda kukaa two weeks huko Mwanza.

Kwahiyo nilivyokosana nae Mwanza ilikua ni muhimu nimpe nauli ya kumrudisha kwao Singida kwa sabab mimi nilikuwa naendelea na mishe zangu hapo mwanza.

Scenario iko ivo.
Japo huyo mikoa ni imaginary, mikoa halisi nisingependa kuitaja.

Ungekuwa wewe usingempa nauli ya kumrudisha kwao?
 
Mkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!

Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??

Piga kabali moja matata inaitwa kamatia chini mpaka aseme black lives matter
 
Daah mimi mwanamke wangu hadi najiona mkosefu maana ananiheshimu na kunijari hadi nahisi ananiandaa kwa ajilo ya kunichinja kama kitoweo,maananhata sisi wafugaji huwa tunajali mifugo yetu ila mwisho wa siku tunaishia kuiuza au kuichinja
ulichokiongea ndo nilitaka kuandika, nliwai kusema sitakuja kupiga demu ata mke ila jana kidogo nivunje amri, but sikuonesha kukasrika, nlifata chips yai, na mishikaki tena nkaja nacheka tu ila hawa watu wanakera, nilisubili asbui ifke ili nitafte namna ya kumwambia aondoke
 
Mkuu kwani hujui kupiga wewe..?
Kuna mitama Kuna vichwa Tena vipo dizaini nyingi Kuna kichwa kinaitwa "cheza na karungu yeye" hicho hupigwa maeneo ya jichoni Kuna kichwa kinaitwa "ulipo tupo" hicho hupiga popote lkn haswa hulenga maeneo ya pua!.. mkuu kuna kabari ipo kabari inaitwa "usiempenda kaja" hii inapigwa unahakikusha aliepigwa kabari hiyo anatumbua jicho na misuli ya uso yote Inaonekana hapo bado kumuachia mpk anyampe ndo unamuacha!

Yapo mapigo mengi sijui unakwama wapi..??
ulipo tupo,
 
Dah nimecheka kinyama yan

Similar Discussions

Back
Top Bottom