Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Nauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.
Walioolewa motoNauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.
WaliosingleNauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.
Kuna hawa wanauza chakula ,na gengeWaliosingle
Nauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.
Oyaah now days everything has gone rondomly mm sjaoa ila nayoyaona nafkiria kutulia kwnzaNauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.
Wapo bana hii Generalization ni Laana, Ko hata Mama zetu na Wake zetu wa Ndoa wanajiuza unawanunua Wewe au? Umepigwa tukio Mwagilia Moyo tulia usitoe hukum ukiwa Emotional.Oyaah now days everything has gone rondomly mm sjaoa ila nayoyaona nafkiria kutulia kwnza
Mnawaokotea wapi Hawa mkuu?Kila ukitongozà tayari simu imepasuka kioo, bibi mgonjwa, kodi imeisha, kitambaa cha sare nk. Hii ni kujiuza 100%.
Umemjibu vizuri! Kuna watu wanaishi ulimwengu wa uharibifu wakidhani kila mtu anaishi ulimwengu huo! Dunia hii Mungu yupo na bado anatawala! Wanawake na wanaume waaminifu wapo tena wengi! Mabinti na vijana wenye bikra (ambao hawajanajisiwa) wako wengi tu! Inategemea familia, aina ya maisha na watu waliokuzunguka (yaani ulimwengu wako unaoishi).Wapo bana hii Generalization ni Laana, Ko hata Mama zetu na Wake zetu wa Ndoa wanajiuza unawanunua Wewe au? Umepigwa tukio Mwagilia Moyo tulia usitoe hukum ukiwa Emotional.
Soon utajua hujuiWapo bana hii Generalization ni Laana, Ko hata Mama zetu na Wake zetu wa Ndoa wanajiuza unawanunua Wewe au? Umepigwa tukio Mwagilia Moyo tulia usitoe hukum ukiwa Emotional.
Ina maana hata mama yako mzazi, mama yako mdogo, dada yako/zako, shangazi yako/zako, nk nao umewajumlisha katika hili swali lako?Nauliza kwa uzuri tu.
Hivi kuna mwanamke asiyejiuza kwa sasa?
Naombeni msinifikirie vibaya.