Mimi nimesoma ninachokiona mkuu. Kilichokuwepo kabla ya hapo sijafikiriaMpaka anakili kuwa nimekosea nisamehe maana ake kajua kosa. Usijitoe ufahamu
huyu atakua wa mchaga, ila angekua wa nyanda za juu kusini angekua amepiga magotiTupo, tena huyo kasimama ilipaswa awe amepiga magoti
Mchaga gani asiyejua kupiga gotihuyu atakua wa mchaga, ila angekua wa nyanda za juu kusini angekua amepiga magoti
Wale wale
Hahhaahaha wachaaa labda sayari nyingine, wanawake wenye adabu mithili hiyo walishatowekaTupo, tena huyo kasimama ilipaswa awe amepiga magoti
Kicheko chakoInategemea Kama mekukosea ntaomba msamaha.....tupo wengi tu mbona
Hapa mtasema kwani??Unichape kisa?????
Nakurudishia teke la kati kati ya miguu yako
Wala siongopi....msamaha muhimu pale unapokoseaKicheko chakoni dhahiri unaongopa
Mbona tupo wengi tu.......unadhani tutakuwa tumeenda wapi..........?........
Weee, usiseme hivyo mie dadako nina adabu debe!!!Hahhaahaha wachaaa labda sayari nyingine, wanawake wenye adabu mithili hiyo walishatoweka
Haya dogo, kama ni kweli idumishe adabu kwa mumeo siokujifanya hapa wewe ni mwenye adabu halafu ukirudi nymbani mnakunjana kooWeee, usiseme hivyo mie dadako nina adabu debe!!!
Usijali, sitawaangushaHaya dogo, kama ni kweli idumishe adabu kwa mumeo siokujifanya hapa wewe ni mwenye adabu halafu ukirudi nymbani mnakunjana koo
Hapa mtasema kwani??
All in all hizi ndoa zetu tuweke maombi sana, binadamu tuna mapungufu mengi, ili tuishi kwa kupendana na kuheshimiana Mungu lazima awe kimbilio letu sio wakina sangomaMi nitakwambia live uchague mwenyewe. Kufeki feki sina i go straight to the point.