Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

Isije ikawa wewe ndo yule tapeli niliyesikia habari zake,alimuoa binti kwa ndoa akamshauri akope hela benki
waanze biashara,yule binti akamtii mme wake akakopa milioni 6 akampatia mmewe mme akatimuka nazo na sasa anajifanya amemuacha na anamwambia maneno kama haya ya kwako,subiri kiama kinakuja.kama hutaki kusumbuliwa lipa mali ya watu utakuwa salama.acha utapeli kwa kisingizio cha mapenzi.
 
na yeye kasimama tuu anasubiri umtandike makofi kama umemzaa wewe mxiiiuuuu viazi vingine havifai hata kwa chipsi nilijua kuna tikiti tuu kumbe kuna kiazi pia haya endeleeni kujazana ujinga

Mkuu umepanic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…