Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Kuna wanawake wengine ving'ang'anizi sana hata umfanyeje bado anaendelea kusumbua.
Hata kama huambiwi wazi kuwa umeachwa au mtu hakutaki dalili huoni uache kusumbua watu.
Unapiga simu wiki nzima haipokelewi, unatuma text hazijibiwi, unabadili simu bado unapuuzwa lakini bado huachi kusumbua.
Hata kama kusoma hujui hata macho huna?picha huoni?
Tujifunze kusoma dalili mbaya na tuchukue hatua.