Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,772
- 6,742
Duuh tena usifikiri anatania huyo mkuu,huyo yuko serious lazima akupige pini kweli! Hatari sana hawa watuHapa sasa anataka aende mtwara kusoma.ila biti nililopewa.mungu anajua.
Ananiambia akifika anatafuta mganga.anifunge nikikutana na mwanamke nisisimame mpaka arudi yeye.