kuna wanawake hawakatai

Status
Not open for further replies.
Yaani kuna wanawake hawakatai ukiomba tu hata ulikuwa unajaribu utasikia tu unaambiwa ni wewe tu na akija tena mwingine anakubaliwa hawariziki miili yao walishaitoa sadaka kama yesu msalabani

Mkuu nakuomba kwa heshima zote edit hii mada yako na uondoe hicho kipande cha kuifananisha sadaka aliyotolewa Yesu na huo ubazazi!!!!
 
Karne hii hamna kuzungushana kwa saaana.thamani ya msichana ilo palepale akikuzungusha au akikupa mapema.kwanza mimi akinizungusha sana namuona hamnazo kabisa.
 
Usipende kufunua tupu za wanawake ovyo, nyingine zina nuksi, wanakuachia! Wengine wanachukua nyota zako, unakuwa wa ivyo ivyo tu, unaona wenzako wanaprosper wewe upo palepale!
 
Yaani kuna wanawake hawakatai ukiomba tu hata ulikuwa unajaribu utasikia tu unaambiwa ni wewe tu na akija tena mwingine anakubaliwa hawariziki miili yao walishaitoa sadaka kama yesu msalabani

Nakushauri usimfananishe yesu kwa stail hiyo. Yesu aliuwawa ili awe mkombozi wetu na hivyo hafanani kabisa na wanaogawa ngono hata kama wajigawe siku zote.
 
Yaani kuna wanawake hawakatai ukiomba tu hata ulikuwa unajaribu utasikia tu unaambiwa ni wewe tu na akija tena mwingine anakubaliwa hawariziki miili yao walishaitoa sadaka kama yesu msalabani

samahani nimechangia uzi huu hapo juu, kumbe nilikuwa sijaangalia picha ya avatar yako kumbe ni wewe ni yule unayempinga yesu. basi subiri adhabu yako siku ikifika.
 
Sijazidi mkuuu kuwa ombaomba ila yeye ndio kaanza eti ananitania baby lini unanitoa out wakati anajua ninamke kabisa kama yeye ndio hana akili nimemwambia alipie ghalama za out

Mpaka anakuita baby???na wewe ni mume wa mtu!hamjaanza leo ndo mana ukiomba atakupa...mmeshajengeana mazingira hayo
 
Ukiwaza uchawi huwezi kusonga mbelel utakuwa wewe mtu wa kuogopa tu

Back
Top Bottom